Du kumbe bado bado unayo, ningekuwa namfahamu mumeo ningemtonya, au anajua??.........lol...
Anafahamu kila kitu tena wanatoka mkoa mmoja na mtoto wake wa kike kampa jina langu la DA
Haya mambo bwana,
Mi nasema tu kama Mungu yupo na kama kweli tunavyoamini ndiye anayetupatia mume/mke mwema basi na atuhurumie tu, atukutanishe na wale watu ambao nafsi zetu zinaendana nao!!
Vinginevyo haya mambo sio marahisi kabisa!!
Mara nyingi watu huwa wanaingia kwenye ndoa na watu ambao hawana vigezo wavyo kuwa wakivihitaji, ndio anapo kuja kuona mtu mwenye vigezo vile anatokea kuanza kumpenda kuliko hata yule aliyenaye.
RF hapo kwenye nyekundu,unajua kuna watu wanalazimisha kupenda,minafikiri inatakiwa kupenda to the maximam mpaka unahisi kuchanganyikiwa na huyo mwenzi nae anatakiwa ajisikie hivyo hivyo sio kama unapenda penda hivi but sio sana, siku utakapokuwa nae 24/7 atakukinai.Kuna wadau wawili mwanamke na mwanaume. Wote wana ndoa zao. Wameanza kuchakachuana tangu 2001 hivi na hadi leo hawana dalili za kubandukana. Mke mumewe anajua kinachoendelea ila kachemka kuzuia. Sasa hawa wagoni ndio kwamba wanapendana sana? Ndio kusema wangeoana wasingechakachua? Nadhani unapotafuta mwenza tafuta anayekuvutia ili kuepuka haya.
RF hapo kwenye nyekundu,unajua kuna watu wanalazimisha kupenda,minafikiri inatakiwa kupenda to the maximam mpaka unahisi kuchanganyikiwa na huyo mwenzi nae anatakiwa ajisikie hivyo hivyo sio kama unapenda penda hivi but sio sana, siku utakapokuwa nae 24/7 atakukinai.
tatizo ndo linaanzia hapo. Anayependwa kwa kulazimishiwa nae anamuonea huruma halafu huruma ikiisha vinaanza vitimbi
Duuu huo msiba ndugu yangu kulazimika kupenda kisa unamwonea huruma mtu,yani point hii bwana ni black and white kama mtu humfeel unamweleza tu kabla kufika mbali.