Walio dukani au wenye connection naombeni maelekezo Duka linalokopesh PC.
Napenda kujua utaratbu wake. Au mwenye kuweza kuniwekea udhamini.
Na vigezo vyote vya kujidhamini pia kwa wale wakopeshaji rasmi.
Nataka laptop ya 350,000 had 500,000/-
Nakumbuk niliwahi kutana na jamaa humu yupo kwa Duka na electronic, alikuwa ananiambia huduma hiyo IPO ILa kwakwel kwasasa hata sikumbuki kama nili save number au nme save nan?.