Uhitaji wa mwenza mwanaume

Gone gud

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
73
Reaction score
76
Habari zenu,

Umri miaka 25 naishi Dar kama nilivyotangulia hapo mwanzo ni kweli kuwa nimechoka kuishi pekee nahitaji mwenza wa kuwa nae maishani kusaidiana katika dhiki na faraja tucheke wote tulie wote pamoja siku zote za maisha yetu.

Wasifu wangu:- ni wa kawaida tuu ni mcheshi, mtafutaji naishi pekee ninafanya kazi ya kuniwezesha kupata fedha kiasi.

SIFA ZA NINAETAMANI KUWA NAE :-
1.Muonekano wa kawaida
2.Mcheshi
3.Awe amemaliza ujana (namaanisha awe anajielewa hana mambo ya kivulana awe na kiu ya maendeleo) ili tufanye maisha tuu na sio mambo yasiyo na faida
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato hata kama ni cha kawaida tuu.

Akiwa na umri wa kuanzia miaka 30 itapendeza zaidi mtu wa kawaida tuu asiye na makuu ambae hajioni kuwa yupo sahihi kwa kila kitu, nitamheshimu.

Angalizo sihitaji boyfriend au mtu wa ku spend (kula raha) hapana nimefafanua toka mwanzo aina ya mtu nimtakae ni wa kuanza nae maisha kama upo tayari ni
PM mengine tutaongea zaidi.
 
Hebu weka kwanza umri wa unayemtaka ili kuondoa flooding ya PM zisizo za lazima.....
 

ushampata kama bado ni pm please tuongee vizur
 
Inaonekana kweli unamaanisha, ngoja niangalie if I can much with ur rules and regulations to be ur mr right
 
Tafadhali nitafute namaanisha, nipo mkoani tuongee kama kweli na wewe una maanisha.
 
Nifate pm vigezo vyote nnavyo
 
Vp mtaani unakoishi,kazini na kwingineko ambako waweza waona wanaume physically sio ndio kuzuri kutafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…