Uhitaji wa Social Reformers Tanzania

Uhitaji wa Social Reformers Tanzania

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
Mambo ni shaghala bhaghala kama nchi.

Tanzania aichomoki kwa wahusika wa succession planning waliopo hawana clue dunia inazunguka vipi.

Take it or leave it hata hao vijana wa kesho waliopewa madaraka leo, wengi hawana uwezo.

Get some serious people tume ya utumishi.

Kama teuzi za uongozi wetu ni wakujifurahisha wenyewe sawa. Lakini kama issue ni watu wa kuipeleka Tanzania mbele.

Kama nchi aichomoki kwa vijana wadogo wanaopewa madaraka: simply wengi wao hawana uwezo.

Easy to predict the outcome on most political and government decisions.
 
Inabidi watu wasanue democracy kwa muijlbu wa wazungu.

Vinginevyo nyie watu hamchomoki
 
Maamuzi ya maisha yana mchakato wa mambo mengi, kwa kiongozi wa nchi kuamua hiyo shughuli ni pevu zaidi na inataka uwe tayari kuishi na maamuzi ambayo ayawezi mfurahisha kila mtu.
 
If you know government staff and how nations are managed; na huu upuuzi wetu wa JF kama nchi atuchomoki.

Swqlq la kuendesha nchi na kufanya maamuzi sio la mzaha kabisa.

Sikio la kufa alisikii

Yaani kwa fikra na michango ya JF kama nchi hakuna kuchomoka

Ndio uhalisia

Hatupo nchi maskini kwa bahati mbaya, tupo hapo kutokana na uwezo wa fikra wa viongozi wetu.
 
Be the change you want to see in the world.
Change is not easy and the process is not nice.

Kuwabadili watu tabia kutoka kwenye utaratibu walio uzoea na kuwaambia huu ndio utaratibu mpya sio shughuli ndiogo (ndio maana kuna change management theories) lengo ni kuelezea mbinu za kuwabadili watu tabia.

Vinginevyo siku zote mleta mabadiliko hawezi kuwa popular (Magufuli mfano) na sabotage uwa zinatokea ndani watu awapendi mabadiliko hiyo na scientific knowledge.

Swala la kujenga nchi sio la mzaha na majukumu makubwa sio ya kupewa tu kwa watu wasio jitambua.

Kwa Tanzania kabla ujachukua nafasi lazima ujipime una ukatili wa wakubadil tabia za mafisadi (hiyo ni Key factor) kubadili tabia za watu; na hiyo sio kazi lelemama.

Either way kwa attitude ya vijana wa leo wenye madaraka kwa kauli zao na fikra zao; bado sana.

Magufuli ilikuwa bahati nasibu tu
 
Unapoints za kutosha 👏
 
The change starts with you,

Most people who say they don't like change,mean they don't like when it happens to them,
But they don't mind if they are the ones initiating the change,practicing self-reflection,

Self-reflection is about addressing your beliefs,becoming aware of them,and taking action.
 
Unapoints za kutosha 👏

Watanzania ni shida, that is me☝️kujifanya najua sana kuhusu mambo ye kodi. Unaenekana zera, wakati unajaribu kuonyesha upungufu wa hoja za wagomaji kisheria.

If anything kwa hizo hoja za kiongozi wa wafanyabiashara wa kariakoo sehemu nyingine mamlaka ya kodi inatakiwa ijitafakari uwezo wake kukusanya kodi; Tanzania upuuzi wa huyo mtu anaoongea una merit ya kumsubua raisi; wakati ni upuuzi mtupu.

That is to say michango yetu humu ni sawa na zero, kama hao unao wachangia uelewa wao topic husika ni mdogo.
 
The change starts with you,

Most people who say they don't like change,mean they don't like when it happens to them,
But they don't mind if they are the ones initiating the change,practicing self-reflection,

Self-reflection is about addressing your beliefs,becoming aware of them,and taking action.
Kiongozi hayo mambo ni rahisi kwa nadharia żako but not in practice. .

Change requires strategic planning kwa uelewa wa mazingira yako na namna ya kuwadhibiti watu ambao awataki mabadiliko.

It’s not straight forward kubadili tabia za watu they gonna resist; mfano

We all know vyombo vyetu vya ulinzi kwenye ku deal na watu wakorofi.

Kwenye sakata la mgomo wa madaktari ambalo kuna watu walipoteza maisha serikali ilipoamua kumtia adabu kiongozi wao wa mgomo Dr Ulimboka kwa kumteka, kumnyofoa kucha na kumtupa Mwabepande ulisikia JK kulaumiwa kwa ukatili.

Dr Sengido Mvungi aliekuwa anajifanya katiba mpya anaijua sana enzi za JK hadi kuvamiwa kwakwe na kuuliwa ukisikia JK akipewa lawama.

JK huyo huyo ndio akutaka kusikia habari za mkataba wa gęsi mpaka anatoka

Point ni nini kuna mambo kwenye hii nchi yanafanywa na watu wengine wa vyombo vya ulinzi raisi hajui.

Sasa hayo mambo yatokee wewe ndio kiongozi, unaepambana na mafisadi utaambiwa wewe ndio unatuma watu; mafisadi yanaweza propaganda.

Kwani leo watu awatekwi, mbona huo utekaji auhusishwi na Samia; ni kwa sababu yeye ahusiki na hayo mambo kama ilivyokuwa kwa J.K, Magufuli na Samia; hayo ni mambo vyombo vya ulinzi Tanzania. Iła mafisadi yana uwezo ya kulipa watu wakuchafue mitandaoni.

Maana yake nini ili kuja kuleta mabadiliko serious Tanzania lazima na wewe uwe umejipanga kwenye counter arguments and risk assessment zao.

Vita na mafisadi sio ndogo, inataka team iliyojipanga
 
Mambo ni shaghala bhaghala kama nchi.

Tanzania aichomoki kwa wahusika wa succession planning waliopo hawana clue dunia inazunguka vipi.

Take it or leave it hata hao vijana wa kesho waliopewa madaraka leo, wengi hawana uwezo.

Get some serious people tume ya utumishi.

Kama teuzi za uongozi wetu ni wakujifurahisha wenyewe sawa. Lakini kama issue ni watu wa kuipeleka Tanzania mbele.

Kama nchi aichomoki kwa vijana wadogo wanaopewa madaraka: simply wengi wao hawana uwezo.

Easy to predict the outcome on most political and government decisions.
Nakubaliana na wewe mleta mada. Hata Serikalini watu wenye upeo na uelewa wa Mambo makubwa ya kuipeleka mbele nchi yetu hawapewi kabisa nafasi ya kushine na kushika nafasi.

Wanaopewa nafasi ni watu wasiojua chochote ili mradi tu anaonekana atasema ndio kwa wakubwa zake, au mwenye vi element vya kichawa

Future ya hii nchi ipo mashakani
 
Back
Top Bottom