The change starts with you,
Most people who say they don't like change,mean they don't like when it happens to them,
But they don't mind if they are the ones initiating the change,practicing self-reflection,
Self-reflection is about addressing your beliefs,becoming aware of them,and taking action.
Kiongozi hayo mambo ni rahisi kwa nadharia żako but not in practice. .
Change requires strategic planning kwa uelewa wa mazingira yako na namna ya kuwadhibiti watu ambao awataki mabadiliko.
It’s not straight forward kubadili tabia za watu they gonna resist; mfano
We all know vyombo vyetu vya ulinzi kwenye ku deal na watu wakorofi.
Kwenye sakata la mgomo wa madaktari ambalo kuna watu walipoteza maisha serikali ilipoamua kumtia adabu kiongozi wao wa mgomo Dr Ulimboka kwa kumteka, kumnyofoa kucha na kumtupa Mwabepande ulisikia JK kulaumiwa kwa ukatili.
Dr Sengido Mvungi aliekuwa anajifanya katiba mpya anaijua sana enzi za JK hadi kuvamiwa kwakwe na kuuliwa ukisikia JK akipewa lawama.
JK huyo huyo ndio akutaka kusikia habari za mkataba wa gęsi mpaka anatoka
Point ni nini kuna mambo kwenye hii nchi yanafanywa na watu wengine wa vyombo vya ulinzi raisi hajui.
Sasa hayo mambo yatokee wewe ndio kiongozi, unaepambana na mafisadi utaambiwa wewe ndio unatuma watu; mafisadi yanaweza propaganda.
Kwani leo watu awatekwi, mbona huo utekaji auhusishwi na Samia; ni kwa sababu yeye ahusiki na hayo mambo kama ilivyokuwa kwa J.K, Magufuli na Samia; hayo ni mambo vyombo vya ulinzi Tanzania. Iła mafisadi yana uwezo ya kulipa watu wakuchafue mitandaoni.
Maana yake nini ili kuja kuleta mabadiliko serious Tanzania lazima na wewe uwe umejipanga kwenye counter arguments and risk assessment zao.
Vita na mafisadi sio ndogo, inataka team iliyojipanga