Umeshindwa kabisa kuunganisha "gestures" za picha ya Ramaphosa na taarifa ya uzi na akili za mtoa uzi!?? ..... Jibu lipo kwenye hiyo picha....Sasa hii habari na huyu Ramaphosa hapa chini vinaendana veepe
Ni kwamba wadachi hawajatoa hizo ndege?Umeshindwa kabisa kuunganisha "gestures" za picha ya Ramaphosa na taarifa ya uzi na akili za mtoa uzi!?? ..... Jibu lipo kwenye hiyo picha....
Staftah njema banduguNdege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.[emoji848]
...
The Netherlands gifted Ukraine a fleet of F-16 fighter jets 9 years after Putin's proxies blew MH17 out of the sky, killing 196 Dutch passengers
Nine years ago, a solemn ceremony took place at Eindhoven airbase in the Netherlandsafrica.businessinsider.com
Kutoa ndege sio tatizo hata kidogo hata poland alikubali kutoa ndege kwenda ukraine hila tatizo likaja zinaingia ukraine kutoka kwenye nchi gani?ikitokea poland kuingia ukraine ataonekana yy poland ndio kaingia na ndege kushambulia majeshi ya urusi kitawaka,akamwambia usa nikuletee ndege huko kwenye camp yako germany halafu uzipeleke ww ukraine nae usa amekataa ndege zimekosa wa kuzipeleka.
Duh Uholanzi haina airline yenye ndege chapa MH 17 ndugu, do your homework. MH ni ndege za Malaysian AirlinesNdege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.๐ค
...
The Netherlands gifted Ukraine a fleet of F-16 fighter jets 9 years after Putin's proxies blew MH17 out of the sky, killing 196 Dutch passengers
Nine years ago, a solemn ceremony took place at Eindhoven airbase in the Netherlandsafrica.businessinsider.com
Hivi hii vita kati ya Urusi na Ukraine bado ipogo?!Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.๐ค