Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Ukiacha kukurupuka utaelewa.Huoni aibu kutukana all men Kwa kutafuta tu engagement mtandaoni,wewe ni dhaifu sifa ya kuwa mwanaume kamili ni kupotezea baadhi ya mambo ya kijinga uyaonayo.
Tangu lini mwanaume akalilia chocolate,
Tangu lini mwanaume akaingia kwenye siku zake.
Acha upumbavu
Mada zako nyingi nazisoma zimejaa u***ge SanaUkiacha kukurupuka utaelewa.
"Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attentionβ¦ karibia tutahitaji pads!" β Alloyce, P.R. π
Ni kweli, Yesu aliwahi kulia, lakini hakuweka calendar ya kila mwezi ya kulia. Hakulilia kila jambo dogo, wala hakufanya machozi kuwa lifestyle. Tena alilia kwa huzuni ya msiba, si kwa sababu "hakupigiwa simu" au "kwa story ya mpenzi Instagram."NOMA SANA.....
Crying is a therapy, dont forget
Huo ndio uhovyo sasa, wewe unachotetea hapo ni kitu gani, ndio maana wakati mwingine naweka mada za kingereza humu kuepuka watu wasiowaelewa kama wewe humu. Mnakuwaga na mikurupuko sana.Mada zako nyingi nazisoma zimejaa u***ge Sana
They are ready to serve you...Milango ya Taasisi ya Magonjwa ya Afya ya Akili - Mirembe haijafungwa.
Ukweli mchungu, watakataa watakusema ila ndio ukweli."Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attentionβ¦ karibia tutahitaji pads!" β Alloyce, P.R. π
Shukrani sana Evelyn Salt ππUkweli mchungu, watakataa watakusema ila ndio ukweli.
Hapa jf angalia tu MMU mada nyingi za kulilia lilia mapenzi ni wanaume, mara wanawake mna dharau mara hamjali mara sijui nini yani ni kujiliza tu kijinga.
Wanaume wengi wameamua kuishi uelekeo tofauti na wanavyopaswa kuishi, hii hali inapunguza kama sio kuondoa "uanaume" ndani yenu. Mnafanya tuwaone hamna tofauti na sisi hamjui tu.
Wanawake mnajua mengi sana kutuhusu wanaume karne hii. ππSiku hizi wanawake ndio wapo imara kihisia kuliko wanaume amabo ndio wamekua dhaifu hasa hawa vijana wa kizazi jipya.
Kiingereza kinasaidia nini,wewe ni mtumwa wa fikra unayedhani uelewa wa mambo ni kujua kiingereza.Huo ndio uhovyo sasa, wewe unachotetea hapo ni kitu gani, ndio maana wakati mwingine naweka mada za kingereza humu kuepuka watu wasiowaelewa kama wewe humu. Mnakuwaga na mikurupuko sana.
Daaah!πππMwanaume unapost "birthday loading...." πππ
Siku hiyo ni kurepost tu status za waliokuwish daaah vitu vya kidada kabisa, tena vidada vya chuo ambavyo vinaishi kwenye ulimwengu wa uongo
Duh! Umehamia tena huko mkuu πππ tuliza kichwa na hiiπππKiingereza kinasaidia nini,wewe ni mtumwa wa fikra unayedhani uelewa wa mambo ni kujua kiingereza.
Watu wengi wajuzi na wataalamu wengi naofanya nao kazi wengi hawajui kiingereza, hata wakiongea ni broken tu,
Lakini ndiyo hao waliofanya Nyerere hydro power stations, kuonekana,
Wamefanya Standard gauge railway,ndiyo hiyo inafanya kazi,lakini pia architectures wengi wanaongea lugha za kwao lakini ndiyo hao wanasimamisha towers nyingi kwenye mataifa mengi.
Hoja yako ya kiingereza ni mfu nyie ndiye mmechangia pakubwa vitengo mbalimbali zimejaa watu wasio na ujuzi Kwa kuongea tu lugha isiyo na mantiki yeyote.
R.I.P Magufuli
Sijahama,najaribu kukutoa kwenye jela ya fikira Kwa kudhani lugha ya kigeni inafanya mtu aonekane smart kichwaniDuh! Umehamia tena huko mkuu πππ tuliza kichwa na hiiπππ
Maisha bila makusudi ni safari isiyo na Ramani
"Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."β Alloyce, P.R.www.jamiiforums.com