uhuionao wa jinsia na baadhi ya matukio

uhuionao wa jinsia na baadhi ya matukio

xivii09

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
267
Reaction score
153
JF ivi ni kwa nini idadi kubwa ya wachawi duniani hata hapa tanzania wanao kamatwa ni wanawake hususani wazee na ni vip? ididadi kubwa ya wtu wanaougua vichaa huwa ni wanaume?
 
Mmmmh... hivi kumbe kuna mtu ana ID ya Watu6???
 
Last edited by a moderator:
JF ivi ni kwa nini idadi kubwa ya wachawi duniani hata hapa tanzania wanao kamatwa ni wanawake hususani wazee na ni vip? ididadi kubwa ya wtu wanaougua vichaa huwa ni wanaume?

mkuu, inaonyesha upeo wako unaamini kuwa;----- kuna uhusiano wa karibu kati ya ukichaa na uchawi.
angalia mkuu usije ukawa umetokea usukumani wanakoua wabibi vikongwe ha ha ha ha ha ha:biggrin:
 
JF ivi ni kwa nini idadi kubwa ya wachawi duniani hata hapa tanzania wanao kamatwa ni wanawake hususani wazee na ni vip?

Wanawake ndio hupenda mambo ya husda, kusemanasemana, kuoneana wivu nk!
NB: hata wanaume but ke ni zaidi!
Kwa upande wa wazee wakike kupenda uchawi ni sababu hizohizo + kukata tamaa!
ididadi kubwa ya wtu wanaougua vichaa huwa ni wanaume?
Ni kwasababu me wengi hukumbwa na msongo wa mawazo, hilo husababishwa na ugumu wa maisha na majukumu!
 
mkuu, inaonyesha upeo wako unaamini kuwa;----- kuna uhusiano wa karibu kati ya ukichaa na uchawi.
siyyo upeo wangu ndo ukweli huo unapingana na uhalisia wewe mtu niaje ndo tattizo la baadhi ya w2 munabishabisha ili mradi wewe kukua kwako ujaona hii ki2 in uhalisia?
angalia mkuu usije ukawa umetokea usukumani wanakoua wabibi vikongwe ha ha ha ha ha ha:biggrin:
kutoke usukumani au ufipan siyo ishu sana mimi sizungumuziii watu gani wanaani uchawi kwa idadi kubwa na zungumzia idadi kubwa kwa njisia moja kwa nini wanaume nao wasisingiziwe kwa wingi kama wanawake na vi bibib
 
Swali lako linaukweli hata mimi nimethibitisha mimi nadhani kwa sababu wanaume wengi huwa hawapendi mambo ya ushirikina kwa hiyo wachawi wengi huwa wanawake.pia wanawake duniani ni wengi kuliko wanaume .
 
Wanaume wengi wanachanganyikiwa kwa sababu ya ugumu wa maisha ,hela za shida ,maisha magumu na matatizo msongo wa mawazo.Hii ndiyo sababu.
 
Back
Top Bottom