Uhujumiwaji wa madini na maliasili za thamani Tanzania - iweje zisinufaishe wananchi?

Uhujumiwaji wa madini na maliasili za thamani Tanzania - iweje zisinufaishe wananchi?

Luali

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
101
Reaction score
11
Huwa nashangazwa nikiangalia tathmini tupewazo kwa niaba ya vyombo vya habari na makala zake za kiuchumi na fedha ambayo imethibitika ya kwamba Tanzania ni nchi ya tatu Afrika kwa uzalishaji wa dhahabu ila ni miongoni mwa nchi zilizokithiri umaskini duniani mpaka sasa.

Ikiwa ziko nchi hazina resources zozote zile na hizo nchi zimekuwa zikitumia nchi hizo zisemekanazo ya kwamba ni maskini wa kutupwa ikiwemo Tanzania, na ukichunguza miradi mingi imekuwa ni ya CCM na si katika maslahi ya wananchi na ndio maana kwa kuifanya nchi hivyo CCM imekuwa ngumu sana kuruhusu kubadilisha vipindi vya madaraka hasa katika ngazi za juu kama maraisi, mawaziri na hata makatibu - na hivyo ukiangalia tafsiri halisi ya Regime, Tanzania ni nchi ambayo inaongozwa katika utemi tena na chama kimoja toka 1960's kinachobadilishwa jina moja kwenda jingine that's all.

Hivi kwanini tumelala fofofo?
 
Back
Top Bottom