Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hii hapana Kaka, kajadili mieleka soka limekushinda.Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.
Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Tutafuta zile penalties na kuipasua ngao ile maana mtatuua.Na mngetufunga tungedai penalties zetu tulizonyimwa.Kwanamna ulivyokua una mtetea Feitoto aondoke Yanga ki mchongo sikutegemea leo uta mdisi.
Alichokua anafanya Fei ni sawa na alichofanya Ally Salim kipa wa Simba ili aipatie matokeo ya mchongo timu yake.
Cha kumshauri Fei toto ni kufanya mazoezi binafsi mengi tena atafute mtu wa kumsimamia.
Kulingana na mwiliwake ulivyo kwasasa hana uwezo wa kucheza mech taff zaidi ya dk 60.
Usimkasirikie. Ni ndugu yako huyo. Yaani nyinyi wote ni vijana wa Rage. Hivyo mnatakiwa kuungana mkono.Mkuu mbna mnamuandama Feisal Sana Kuna nn kingne manake Mpaka Sasa inaonekana Ninyi watu wa utopoloni ndo wenye shida washnz sana
Pia uhuni hauwezi kuisadia Yanga kua timu kubwa barani Africa.....Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.
Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Huo uhuni ni upiSiku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.
Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Kolo mwenzako huyoMkuu mbna mnamuandama Feisal Sana Kuna nn kingne manake Mpaka Sasa inaonekana Ninyi watu wa utopoloni ndo wenye shida washnz sana
Jinsi ulivyomuelezzea iinanesha wazi huyo kijana "conduct" yake ina "reflect" malezi yake.Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.
Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Acha chuki masikini wwSiku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye upendeleo dhidi ya adui zake. Alidekezwa na leo anataka kuendeleza aina mbovu ya uchezaji mpira.
Fei toto kama anataka kuwa ni mmoja wa wachezaji wakubwa ni lazima aache uchezaji wa kihuni uwanjani.
Mwenzake Fiston Mayele alikuwa na bidii uwanjani wala hakutegemea uhuni.
Huyo jamaa fala sanakwani fei Toto ni nani hadi umuanzishie thread? Ana umuhimu gani?
Malezi ya utotoni huonekana kwa tabia za ukubwani!!Huyo jamaa fala sana