Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Uhuni ni tabia ya watu kufanya jambo kwa kupuuzia kanuni zlizowekwa na jamii husika.
Kwenye siasa kuna kanuni ya kuheshimu watu unaowaongoza, angalau kwa vitendo
Lakini kwa Afrika wanasiasa wengi huwa hawana tabia ya kuwaheshimu watu wanaowaongoza. Yaani udanganyifu ndiyo aina ya maisha yao ya kisiasa wanayoishi
Hapa chini nimeweka picha ya video ya mtu anayezindua kisima kisicho na maji.
Unawaza inakuwaje mpaka Karne hii kunafanyika tukio la uzinduzi wa kisima cha maji. Ni wakati gani tutafanya uzinduzi wa safari za kwenda kutafiti anga zingine?