Uhuni katika mahusiano

Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku

Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
Mtatuua sasa
 
Yaani kifupi huyu akupendi Hana hisia na wewe anachotaka ni pesa yako na Kuna chemba nyingine ndio anampenda anaitindua kila siku mwanamke anaekupenda hawezi akawa ivyo huo achana nae utakuja kujinyonga
 
Hamna mke humo.. kwanza inaonesha ukiondoa sex she has nothing else to offer..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…