shabani mustafa
Member
- Apr 9, 2023
- 18
- 61
Maelezo Yako yanaonyesha hata chupi umevaa kichwani,mtu mzima hawezi kushabikia watu kufawewe unajuaje mm ni mpumbavu na unajuaje shilole alilipwa? na unaletaje ulinganisho wa mali na roho kwan mtaani mwizi hua tumafanyaje? ushawahi kuwaambia raia mwacheni mali sio bora kuliko alichooiba?
lakini utashabikia watu kuiba si ndio, ulishwahi kwenda mtaani ukakuta mwizi anachomwa ukawaambia jamani roho ni zaidi ya mali. leo hii ndo unajikuta kitimaMaelezo Yako yanaonyesha hata chupi umevaa kichwani,mtu mzima hawezi kushabikia watu kufa
Watu walikuwa wanatarget biashara za wasanii ambao ccm ilikuwa inawalipa kwa kutumia mali za umma,ukiacha mali zinazozaniwa ni za viongozi mafisadi.watu walikuwa wanalalamia hao wanasanii hawakemei maovu.ushamba tena. nyie jitafuteni kwanza naona bado hamjakaa sawa kichwan! wewe hujui mm biashara nmeipataje kwa shida eti kisa naipenda ccm na sjaiba hata pesa ya mtu unakuja kuchoma aisee ningekua nafanya biashara pale sinza aisee watu wangekula pipe sana
Gentleman,
hakuna mamluki, mchochezi au gaidi wa kupora mali au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi ya wananchi atachekewa na vyombo imara sana vya ulinzi na usalama nchini hata kwa sekunde moja tu.
lazima kuwe na heshima kwa taifa
Uliwahi kwenda tra,tic,hazina labda kuwawajibisha viongozi ambao wanajilimbikizia Mali na kigumbukwa na rushwa Kila sehemu,au uliwahi kuwawajibisha viongozi ambao watoto wao Wana mamlaka ya kuidhinisha malipo ya madeni na kupewa asilimia 10 ikiwa hata hawafanyi kazi sehemu yoyote? Hawa ndio wizi wakubwa vipi lini tukawachome motolakini utashabikia watu kuiba si ndio, ulishwahi kwenda mtaani ukakuta mwizi anachomwa ukawaambia jamani roho ni zaidi ya mali. leo hii ndo unajikuta kitima
Una ushahidi wa kiongozi yoyote kuiba mali? hilo swali nmeuliza apo juu mpaka sasa hakuna ushahidi sasa fujo zote za nn? na mbna ni utaratibu wa kawaida mtaani kuchoma wezi, ulishawahi kupeleka busara zako wakati mwizi anachomwa kuwaambia roho ni zaidi ya mali?Uliwahi kwenda tra,tic,hazina labda kuwawajibisha viongozi ambao wanajilimbikizia Mali na kigumbukwa na rushwa Kila sehemu,au uliwahi kuwawajibisha viongozi ambao watoto wao Wana mamlaka ya kuidhinisha malipo ya madeni na kupewa asilimia 10 ikiwa hata hawafanyi kazi sehemu yoyote? Hawa ndio wizi wakubwa vipi lini tukawachome moto
Hukumu rasmi Tanzania kwenye vitabu vya sheria za inchi hii ni kunyongwa mpaka kufa kwa kosa la kuchoma moto jengo loloteHakuna aliyehamaishwa kuchoma vitu vya watu ukweli ni kwamba ile ni hasira zilizokusanywa mioyoni mwa watanzania kwa muda mwingi kwa sababu ya maovu ya serikali.sasa hivi hizo hasira zinaongezeka mara nyingi.hata hivyo huwezi kumuua mtu kisa kachoma kituo cha polisi.uhai unathamani kuliko mali.
Hata Maduro alikuwa na ngebe hivihivi hadi kutahamaki unyakuo ukamfikia. Tuzidishe maombi Trump atuone nasi.Gentleman,
hakuna mamluki, mchochezi au gaidi wa kupora mali au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi ya wananchi atachekewa na vyombo imara sana vya ulinzi na usalama nchini hata kwa sekunde moja tu.
lazima kuwe na heshima kwa taifa
kwan wasanii walipewa tu bila kuzifanyia kazi?Watu walikuwa wanatarget biashara za wasanii ambao ccm ilikuwa inawalipa kwa kutumia mali za umma,ukiacha mali zinazozaniwa ni za viongozi mafisadi.watu walikuwa wanalalamia hao wanasanii hawakemei maovu.
alafu alivomchukua nchi kaipata?Hata Maduro alikuwa na ngebe hivihivi hadi kutahamaki unyakuo ukamfikia. Tuzidishe maombi Trump atuone nasi.
Ndio maana nakwambia ukiwa mpumbavu jifunze kukaa kimya sio Kila kitu kushabikia tu,huna unachokijua au kama unajua unajipa ujinga kwa lazima acha kushabikia watu kuuwawa ipo siku utakufa wew na ujinga wako wa uchawaUna ushahidi wa kiongozi yoyote kuiba mali? hilo swali nmeuliza apo juu mpaka sasa hakuna ushahidi sasa fujo zote za nn? na mbna ni utaratibu wa kawaida mtaani kuchoma wezi, ulishawahi kupeleka busara zako wakati mwizi anachomwa kuwaambia roho ni zaidi ya mali?
nienda na sina ushahidi wowote wa mtu kuiba mali? wewe mwenye ushahidi nimekwambia uweke hapa huo ushahidi toka mda haunaUliwahi kwenda tra,tic,hazina labda kuwawajibisha viongozi ambao wanajilimbikizia Mali na kigumbukwa na rushwa Kila sehemu,au uliwahi kuwawajibisha viongozi ambao watoto wao Wana mamlaka ya kuidhinisha malipo ya madeni na kupewa asilimia 10 ikiwa hata hawafanyi kazi sehemu yoyote? Hawa ndio wizi wakubwa vipi lini tukawachome moto
Haichukui hata dk 20 kupata ushahidi kwenye ofisi hz,nienda na sina ushahidi wowote wa mtu kuiba mali? wewe mwenye ushahidi nimekwambia uweke hapa huo ushahidi toka mda hauna
huna ushahidi wowote wa mtu kuiba mali hivo basi shaba zitaendelea mpaka vichwa viwakae sawaNdio maana nakwambia ukiwa mpumbavu jifunze kukaa kimya sio Kila kitu kushabikia tu,huna unachokijua au kama unajua unajipa ujinga kwa lazima acha kushabikia watu kuuwawa ipo siku utakufa wew na ujinga wako wa uchawa
nonsenseHata Maduro alikuwa na ngebe hivihivi hadi kutahamaki unyakuo ukamfikia. Tuzidishe maombi Trump atuone nasi.
Kuna hosp inatwa miabong ni ya wakorea,Hawa jamaa wanafanya huduma zao kuanzia jumanne mpaka jumapili,malipo yao yote wanapokea bila kutoa stakabadhi yoyote,hawalipi Kodi kifupi huo ushahidi wa kwanza watu wa tra sio kwamba hawajui kwa Hy tunatakiwa tuwawajibishehuna ushahidi wowote wa mtu kuiba mali hivo basi shaba zitaendelea mpaka vichwa viwakae sawa
Gentleman,..msicheke na magaidi wanaoteka, kutesa, na kuuwa, wakosoaji, na wanaharakati.
ramli nonsense kabisa hiyo ndugu mshirikinaKuumwa kote kule umeshindwa kufa?lakini naamini mwaka huu humalizi mwaka
try it ili ufurahishwe na hatimae upeleke zawandi ya huzuni kwenuKama watu wataona hizo mali zimepatikana kwa njia hatamu kila kitu kinawezeka hata hivyo soon wahuni wataondolewa.Damu za watu zinamlilia Mungu na kutaka justice.