1.tatizo ni kuwa mtu akishapita kura za maoni hujiona keshapita.....yale ni maoni tu. Unapopewa maoni unaweza kuyakubali au la.
2.kila chama husimamisha mgombea mwenye uwezekano wa kushinda uchaguzi mkuu.wanachama wanaopiga kura za maoni ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura wote.hapa chama chochote lazima kiwe makini aidha kuwafurahisha wanachama wachache na kupoteza jimbo au kuwaudhi wanachama wachache na kulichukua jimbo......hayo ni mawazo yangu.
3.kwa mtazamo wangu,chama chochote kina haki ya kubadili uamuzi wa matokeo ya kura za maoni kwa maslahi ya chama.