Uhuni wa Zelensky waonekana wazi na kumuumbua yeye na rafiki zake

Uhuni wa Zelensky waonekana wazi na kumuumbua yeye na rafiki zake

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu,

Kwanza nianze kwa kuwapa pole wananchi wa Ukraine kumchagua mhuni kuongoza nchi kihuni huni.

Alianza kwa kupanga kulipua dirty Bomb wakamshitukia kama kelele zisingepigwa angelipua .

Ionekane Russia katumia nuclear lengo lake analijua yeye mhuni huyu.

Ameua RAIA wa jirani zake kwa mpango ambao hata mtoto wa nursery anagundua.

Wameumbuka kwelikweli kule G20 kila kiongozi.

Wanamung'unya maneno hakuna wanalojibu wanampango gani ukraine.

Mkuu wa majeshi marekani ameweka wazi Ukraine now is over akae na Russia wayamalize kwa kutii matakwa ya Russia.

Wamesema Kule G20 hata vaa yake ya kihuni huni.

6374d61d85f54032a2753b67.jpg
 
Pia kunakuti Fulani sometimes huvaa na hata Putin analo gharama bongo hapa waweza nunua wilaya ,risasa zinateleza labda utumie kitu Kama HIMARS
Duh zipo bullet proof za kuvaa lakini so muundo wa tishirt ya Zeleboy. Hiyo tishirt Ni ya kawaida kabisa isio na dalili yoyote ya kuwa na vifaa vya kiulinzi Kama bullet proof

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom