Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State!!!

Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State!!!

Dr. Job

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
813
Reaction score
220
Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State

PIX.jpg

If the ongoing ICC cases hit the rocks, it won’t be because Uhuru and Ruto are innocent but precisely due to the wanton exploitation of Kenyan state resources and authority to weaken the prosecution’s case. There is already precedent – the successful use of the Kenyan state (under the Kibaki administration) to sabotage and force the withdrawal of Francis Muthaura’s case. This is in fact the impetus that motivated Uhuruto to “do all that is necessary” to acquire state power then use it to quash their respective cases.

Why was the Muthaura case dropped (March 2013)?
While most people hastily cite the withdrawal of Witness 4 as the reason behind the case’s collapse, the ICC prosecutor clearly outlined the reasons in her notice for withdrawal of charges. She cited the following “severe challenges” being responsible for her withdrawal of Muthaura’s case:
• Several potential witnesses against Muthaura already interviewed by OTP ended up dead.
• Other potential witnesses against Muthaura uncovered in OTP investigations were afraid to give testimony – those contacted were afraid to come forward [effectively intimidated].
• There was lack of cooperation from the Kenyan government (concerted sabotage using the Judiciary and the Attorney General) with regard to provision of requested evidence from senior police officers and provincial administration in-charge during PEV. The latter took orders from Muthaura during PEV.
• Then of course the withdrawal of the key Witness 4 who admitted lying to OTP about being present with Muthaura and Mungiki representatives in the State House PEV planning meeting. However it was still damning that Witness 4 also admitted receiving money to withdraw his testimony (confirming the OTP allegation of bribery of its witnesses by defense).
Here it is in the Prosecutor’s own words:

http://icc-cpi.int/en_menus/icc/press and media/press releases/Pages/OTP-statement-11-03-2013.aspx
Statement by ICC Prosecutor on the Notice to withdraw charges against Mr Muthaura

I wish to inform you, that today I filed a notice to the Judges to withdraw charges against Mr. Francis Kirimi Muthaura. I have done so after carefully considering all the evidence available to me at this time. It is my duty to proceed only when I believe that there is a reasonable prospect of conviction at trial. If not, then it is my responsibility as Prosecutor to take the decision to withdraw the charges…

This is an exceptional decision. I did not take it lightly, but I believe it is the right thing to do.
I explained to the Judges the reasons for my decision, specifically, the severe challenges my Office has faced in our investigation of Mr. Muthaura;

* the fact that several people who may have provided important evidence regarding Mr Muthaura’s actions, have died, while others are too afraid to testify for the Prosecution.
* the disappointing fact that the Government of Kenya failed to provide my Office with important evidence, and failed to facilitate our access to critical witnesses who may have shed light on the Muthaura case.
* the fact that we have decided to drop the key witness against Mr. Muthaura after this witness recanted a crucial part of his evidence, and admitted to us that he had accepted bribes.
In conclusion, let me remind you all of my unwavering commitment to justice for the victims of the 2007-2008 post-election violence. The real victims of the terrible violence in Kenya five years ago are the men, the women, and the children, who were killed, injured, raped, or forcibly displaced from their homes – and whose voices must not be forgotten. I will not forget them.
It is therefore patently clear that Muthaura’s case was only dropped because of the adept use of Kenyan state levers to (in short): assassinate, intimidate, and bribe witnesses to weaken the case. It is essentially the same thing that happened with Gen. Ali’s case. It succeeded.

The small-budget-outfit of the OTP felt no need of further devoting limited resources playing ping-pong with the deep pockets of Kenya’s Treasury. Therefore, make no mistake – the same strategy (whose modus operandi is; witness assassination, intimidation, and bribery) is currently being employed to collapse the Uhuruto cases. The two suspects not only consider themselves head and deputy head of state, they see themselves as the state!

Interrogating minds will also notice the conspicuous failure by Kenyan mainstream media to accurately report the real reasons cited by OTP to abandon its prosecution of Muthaura’s case. Local media has disingenuously and mischievously feigned ignorance and used conspiracy propaganda to portray Muthaura as an innocent pawn who was unfairly targeted as a scapegoat in a high-stakes internationally-mediated political chess. The same stance has been unethically adopted by media in arguing the case of Uhuruto in the court of public opinion. The local media narrative has in effect swapped the actual victims of PEV, from IDPs and those persecuted, maimed, raped, killed, or widowed, to the two suspects who media has bestowed sainthood.

Riding on this momentum, the Uhuruto duo has figuratively smelled blood, therefore upping their misappropriation of Kenyan state resources and authority. The following state institutions and officers have all been redirected to focus on exculpating the duo – the Attorney General (sleek non-cooperation and witness identification); the Police and NSI (identifying and chipping away witnesses); Judiciary (use of Kenyan courts to seek secret phone communication records between OTP witnesses/ courts effectively blocking OTP investigations of senior police and provincial administration officers); Foreign Affairs Ministry (shuttle diplomacy /AU and UN lobbying; regional state visits within African capitals hosting some OTP witnesses); Mainstream Media (skewing reports such as the misleading news about nonexistent witness withdrawals); and blatant use of the Presidential and Deputy Presidential megaphones to finally put the last nail into the coffin of these cases.

A classic example of William Ruto using the Deputy President’s megaphone to further intimidate remaining witnesses (who have not yet been assassinated, intimidated, or bribed) is here:

ICC trial proceedings to suprise Kenyans, William Ruto says - Politics - nation.co.ke
” Mtashangaa na ile maneno itakuwa huko Hague.” (You will be suprised by what will happen in The Hague), he said without elaborating.
Just pause for a moment! A sitting country’s Deputy President going to Nyeri (ethnic backyard of OTP witnesses lined up against him) and unleashing that coded warning (above) clearly aims at intimidating or interfering with the testimony of witnesses already lined up to testify against him. Fearful witnesses may alter or tone down their testimony fearful of their lives or security of relatives. Is anyone surprised that witnesses have been disappearing?

The reality is that in a Third World country like Kenya, it is extremely difficult for a witness to stand in court (foreign or local) and actually testify against a sitting President or Deputy President without being terrified about their security! This is why the last election had to be rigged at all cost to make the suspects President and Deputy President; voting figures had to be slowly and painstakingly manipulated to avoid a run-off. Remember, Uhuruto are not just fighting to avoid jail time, they are also fighting to save their entire financial fortunes against asset seizures, forfeitures, and confiscation.

All this “fight” is happening at our own cost – taxpayers! Taxes are specifically being raised to afford the expensive enterprise. VAT tax is being raised on basic commodities like milk to afford MPs the luxuries needed to pay for the kind of trips they make accompanying Ruto to the Hague. Sisi ni wajinga kweli! The Kenyan state is being expropriated for the personal benefit of two ICC suspects and their sycophants in Parliament. PEV victims are basically forgotten footnotes in our history. It is indeed the utmost height of impunity – whereby those concerned with the wicked abuse of the Kenyan state are brashly asked to move on!

Dr. Job
 
Jana imetangazwa kuwa mashahidi wengine wanne (4) wa kesi ya Ruto na Sang eti wamejitoa.

Sasa naanza kushawishika kuwa Ruto na Uhuru wako culpable.

Sijawahi kuona kesi ambayo mashahidi wake wanajitoa kwa wingi namna hii.

Na siamini kama wanajitoa kwa matakwa yao. Kuna nguvu za giza nyuma ya pazia.
 
Kwa watu wote wapenda amani ya mungu na ulimwengu wa haki; ufuatao ni msimamo wa mungu kwenye kesi hii ya kenya na ulimwengu kwa ujumla:

Katika biblia kitabu cha mwanzo sura ya 4 mistari ya 8 hadi 11 kwamba damu ya habili ilikuwa inamlilia mungu kiasi cha kumfanya mungu amuadhibu vikali kaini kwa adhabu iliyomzidi kimo.

Kwa kesi ya kenya damu ya wale wote ambao leo wabunge wa jubilee na maseneta wa jubilee wamefukia habari yao kiasi cha kuhamasisha kanisa la mungu kuombea wanaofanana na kaini wajue kwamba mungu ana kanuni na misimamo katika neno lake katika wagalatia sura ya sita mstari wa saba kwamba mungu hadhihakiwi; apandacho mtu ndicho anachovuna-uhuruto wametajwa katika ripoti zote zinazotuhumu matokeo ya tukio la kenya 2007/8 kiasi kwamba mbele za mungu katika wakorintho wa pili sura ya kumi na tatu kwamba kwa mungu ni mashashidi wawili tendo linathibitika.

Ni kwa sababu hii mimi kama mpenda amani ya mungu na kama mtu wa mungu na mjumbe wa mungu nawapa uhuruto ushauri wa bure kwamba njia pekee itakayowaweka salama mbele za mungu ni kutubu mbele za taifa la kenya na kukubali kubeba mzigo wa kesi hii kama yesu alivyobeba adhabu kwa makosa ambayo yeye hakutenda ila ili mapenzi ya mungu yatimie.

Sasa hawa Uhuruto kwa njia hii wanayotumia iliyojaa mauaji/vitisho kwa mashahidi kwa kutumia nguvu za dola ambayo wameingia kwa njia ya kiharamia wajue kwamba kumtumia mungu kutaka kuhalalisha udhalimu ni kukaribisha asira ya mungu kwao wao na wale wanaojiita watumishi wa mungu wanaowaombea ili mungu aache damu za mamia zinazomlilia huyo wanayemuomba siyo mungu huyu baba wa bwana wetu yesu kristo aliye mtetezi wa haki za wanyonge duniani.

Ni kwa sabau hiyo; mwenye masikio na asikie. Mungu ibariki kenya; mungu ibariki afrika.
 
If the ongoing ICC cases hit the rocks, it won’t be because Uhuru and Ruto are innocent but precisely due to the wanton exploitation of Kenyan state resources and authority to weaken the prosecution’s case.

Mmmmmmmmmmmm,,,,,ohooooooooo,,is this not trying to create,,a safe landing
when you see things not going the way,, you all,,wanted?????

You all swore that Uhuru and Ruto would be,,eheheee,,hanged.

Another funny thing,,which has been done,,very tactically,,,by this Dr,,is that
because he did not want to talk about,,,the former minister Henry Kosgey, also
a suspect who was acquitted,,so he never mentioned major Ali and
tell us what made the prosecutor acquit him.

Yes,,it can be said,,that Kibaki used his powers to make it
possible for the acquittal of mr Muthaura.

What about mr Henry Kosgey,,the ODM chairman.

I know what is the answer by these guys,,,,that 'there
was no evidence to show that he was connected to the
PEV of 2007.🙂

You got defeated in the last general election,,,,'ooo,,they
have stolen,,,again,,,for we won with more than a million
votes'.

Then ,,all flocked into the supreme court swearing that
there was incriminating evidence to show that the elections
were rigged.

But failed to show,,anything in the courts.

When the case did not go,,your way,,,,,,'hey the judges
have been compromised,,,,,money has been poured,,,'
and so on and so forth.

There is always,,a reason,,,,why this and why that.

The problem with the whole ICC thing,,is that it has
been turned upside down,,,by people who felt that
they were very intelligent and that they could use
other means,,to get into power.

It is as simple as that,,,this talk about justice,,,
should only be told to a person who has just
arrived from,,,Pluto.
 
ufuatao ni msimamo wa mungu kwenye kesi hii ya kenya na ulimwengu kwa ujumla

Huuni upuzi wa hali ya chini,,,eti msimamo wa Mungu,,,hatuhitaji huwo msimamo wa mungu
huyo wenu na kama wewe ni mtume wake,,,,kwanini usiadhibu Kenya,,leo na si kesho????

Wacha mungu mwenyewe achukue hatua yeye mwenyewe na hatuhitaji kujua
eti nini imeandikwa wapi.

Hiki ni kichekesho cha ajabu.

ICC ikishindwa,,,sasa mwataka mungu achukue hatua,,,,,,🙂
na inakaa,,mtangoja sana,,madugu na dada katika damu
ya yesu
.🙂

Na kama Mungu wenu,,ana sema hivyo,,,basi mungu wetu
ana sema tofauti na wenu.
 
Eti Mungu,,,

Yuko wapi wakati wa Syria wana kufa kama nzige.

Alikua wapi pale wa Rwanda,,zaidi ya millioni moja na nusu
walipo kufa kinyama,,vipande vya nyama vikiwa vya elea
katika maziwa,,miezi na miezi.

Yupo wapi pale mabomu yanapo lipuka kila mara huko
Bagdad.

Yeye yu wapi pale wapalestina wanakufa katika mikono
ya hawa watu wa mungu,,eti waisraeli.

Mmmmmmm,,,huyu Mungu hana macho ya kuona haya yote,,
lakini yake na yote imeandikwa katika biblia,,ni kuhusu
Kenya tuuu???????

Wacheni mchezo huo wenu.

Kama mnataka biblia imsaidie,,,basi,,,,mtangoja kama
karne zingine tano,,,,,

Ya Kenya,,itatatuliwa Kenya na wa Kenya,,,na wala si Hague
ama mbinguni.
 
Aisee na wewe nawe. Ni lini na ni wapi ulikutana naye huyo mungu akakueleza msimamo wake? Acha kutuzingua hapa!

Soma maandiko yaliyonukuliwa. Kama hujui kwamba Mungu anasema nasi kwa Neno lake usipoteze muda wako maana hata pagani anajua hili. Wewe na wale wanawaombea wahalifu hawa mko sawa tu. Damu za wakenya zinamlilia Mungu kama damu ya Habili aliyeuawa na ndugu yake kaini.
 
Hayo maandiko nimeyasoma zaidi ya miaka hamsini (nina hakika hata huo umri bado haujaufikia), lakini sijawahi kuuona huo msimamo wa mungu unaouongelea.

wewe na wenzako wenye mawazo kama yako nawapa pole kwa sababu ninyi siyo majaji wanaosikiliza kesi hii. ndiyo maana mmetumia kila hila kesi eletwe karibu ili mnyonge wanyonge kama mlivyonyonga matokeo ya uchaguzi wa urais. Kesi imeanza hamna ujanja kuisimamisha hata kama mkiwatumia wabunge na maseneta wa jubilee wanaotumika kuididimiza kenya katika ramani ya ulimwengu wa watu waliostaabika. mmeona hayo mashtaka? ICC ni wasomi ndiyo maana mashitaka yamewashtua akina uhuruto. tailor alivyotangulia uhuruto wanafuata. anzeni kulia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hizi kelele zako na wenzako ni kama kilio cha chura katika maji kwa ng'ombe. endelea kubwata tukuweke sawa!!!!!!!!!!
 
Tofauti ya Taylor,,na wengine kutoka Africa ambao wamewahi kustakiwa
katika Hague,,na Uhuru na Ruto ni kwamba,,,,,UhuRuto wamejipeleka,,
wao wenyewe,,hawakuchukuliwa kutoka Kenya na nguvu.

Hiyo ndiyo tofauti iliopo kati ya UhuRuto na wengine.

Nyinyi ambao munajificha nyuma ya eti mwataka haki,,,
ni chuki tu ambayo inamuongoza,,hakuna chochote
kama haki,,,kwani,,,,nini kidogo mlicho wahi kuwafanyia
walio adhiriwa???????

Ya plili,,hata hamna habari,,kujua nini kilicho fanyika
Kenya 2007,,,,nyinyi ni wale wafrika ambao husema,
eee bwana ee bwana,,,mzungu anapo,,,hata nyamba.

Someni historia ya hawa wazungu,,,,hakuna haki
yeyote ambayo ambayo,,wana weza kuwafanyia
waafrika.

Somalia imekua katika shida kubwa,,zaidi ya
miaka ishirini,,,kwani Kenya ndio mbaya
kuliko Somalia.

Shida ni sisiKenya,,,tumeuzwa na wengine wachache
ambao huabudu wazungu.

Sijui kwani Ruto amekubali kushirikiana na hawa mbwa mwitu,
ICC.

Wangelifuata advice kutoka kwa Kagame na Museveni,,ambao
wamekua wakiwaambia....msikubali kushirikiana na hao mbwa
mwitu.

Pili,

Kuweni tayari na hizo nyimbo zenu,,eti mumeibiwa kura,,,2017,,
kwani hamtapata hata 30%.

Mlishinda wapi pale hata bunge,seneti,,nyinyi ni minority,,,,

kwanini Obama hakutumia nguvu zake kuwapatia uongozi Kenya?????

Hivyo hivyo ndivyo ICC haina nguvu,,hata nukta moja,,, kupindua siasa
za Kenya,,,kwani ICC ni kijikorti cha ukora,,,,,,ikiongozwa na
wakora.

Hakuna yeyote ataweza kuingia Kenya na kuitawala,,hata
kama mumeishiwa na uwezo wa kupanga mikakati,,hiyo ni
shauri yenu na hatutaki kujua.

ICC,,is going to nowhere,,i swear by my life,,,itakua maajabu
tupu eti Uhuru na Ruto,,,,eee,,kufungwa,,,katika inchi
ngani,,,,wacheni ndoto hizo ambazo zampotesha.

Another witness refuses to go to Hague,,yaani
witness mwingine watano ajiondoa na kukataa kutoa
ushahidi,,ambaye alikua aende the Hague,,jumatatu,
na alikua atoe ushahidi,,,hii wiki.

Kesi hii itasabaratika wakati,,,wowote.🙂

Hamna bahati,,,,,na poleni saaaaaaaana.

Enyi wenye ushahidi,,katika hii forum,,mwahitajika
saaaana,, huko Hague.

Kwani,,hakuna mashahidi.

Kwa watu wote wapenda amani ya mungu na ulimwengu wa haki; ufuatao ni msimamo wa mungu kwenye kesi hii ya kenya na ulimwengu kwa ujumla:

Katika biblia kitabu cha mwanzo sura ya 4 mistari ya 8 hadi 11 kwamba damu ya habili ilikuwa inamlilia mungu kiasi cha kumfanya mungu amuadhibu vikali kaini kwa adhabu iliyomzidi kimo.

Kwa kesi ya kenya damu ya wale wote ambao leo wabunge wa jubilee na maseneta wa jubilee wamefukia habari yao kiasi cha kuhamasisha kanisa la mungu kuombea wanaofanana na kaini wajue kwamba mungu ana kanuni na misimamo katika neno lake katika wagalatia sura ya sita mstari wa saba kwamba mungu hadhihakiwi; apandacho mtu ndicho anachovuna-uhuruto wametajwa katika ripoti zote zinazotuhumu matokeo ya tukio la kenya 2007/8 kiasi kwamba mbele za mungu katika wakorintho wa pili sura ya kumi na tatu kwamba kwa mungu ni mashashidi wawili tendo linathibitika.

Ni kwa sababu hii mimi kama mpenda amani ya mungu na kama mtu wa mungu na mjumbe wa mungu nawapa uhuruto ushauri wa bure kwamba njia pekee itakayowaweka salama mbele za mungu ni kutubu mbele za taifa la kenya na kukubali kubeba mzigo wa kesi hii kama yesu alivyobeba adhabu kwa makosa ambayo yeye hakutenda ila ili mapenzi ya mungu yatimie.

Sasa hawa Uhuruto kwa njia hii wanayotumia iliyojaa mauaji/vitisho kwa mashahidi kwa kutumia nguvu za dola ambayo wameingia kwa njia ya kiharamia wajue kwamba kumtumia mungu kutaka kuhalalisha udhalimu ni kukaribisha asira ya mungu kwao wao na wale wanaojiita watumishi wa mungu wanaowaombea ili mungu aache damu za mamia zinazomlilia huyo wanayemuomba siyo mungu huyu baba wa bwana wetu yesu kristo aliye mtetezi wa haki za wanyonge duniani.

Ni kwa sabau hiyo; mwenye masikio na asikie. Mungu ibariki kenya; mungu ibariki afrika.

Msimamo huu uliyoandika hapa ni wa ibilisi hata shetani. Kwanza unajitwika laana isiyoweza kuhondolewa juu ya nafsi yako na kwa vizazi vinavyofuata kwa kumhusisha Mungu ambae ndie bwana wetu Yesu Kristo pamoja na mipango ya faraga ya wanafiki na wanaopanga kwa siri mitego ya kuwanasa wenye haki wasio na lawama. Ni kweli Mungu huchukia maauaji, bali anapotaka kupeana haki, hatatumia busara ya mwanadamu ambayo ndio bandia inayotoka kwenye vikao vya 'longo-longo' na wasio penda ukweli na amani na hasa waliopofushwa na ibilisi shetani kama wewe....Hatma ya kesi hizi zimepunguzwa zikawa ni ushabiki kati ya wanasiasa...

itakubidi kumpiga magoti na kumlilia Mungu, kufungua macho yako iliyopofuka na kuiponya nafsi yako. Mikono ya Mungu ndiyo yameumba ulimwengu na vitu vyote vilivyomo. lolote linalotendeka iwe ni gizani au chini ya bahari au chini ya ardhi analijua, basi iweje binadamu asiyejua hesabu za siku zake atamgeukia na kujaribu kumpa funzo hata kumpa mungu busara ambayo ina msukumo wa kishetani........ikiwa umepanda hadi mbinguni, basi unaelewa msimamo wake Mungu....Ikiwa uko ulimwenguni na hujapanda mbinguni, okoa nafsi yako kutokana na ulevi wa mchana...

kwa kuwa ni nyakati za mwisho na hofu imeenea kwa wanadamu ya kutojua kitakachotendeka....kinachoonekana kutoka kwako ni sawa na waovu wanaojaribu kujenga kuta za kujizingira na kutafuta ufadhili na msaada kutoka kwa wanafiki kujilinda kutokana na ghadhabu na hukumu itakayokuja...itabidi kumrudia Mungu na kutakaswa kutokana na dhambi zenu...ngome za ushirikina zimeambulia patupu

Kwa kuwa Mungu wetu ni muumba mbingu na nchi, alijua wakenya watauwawa na pia kawajua ni kina nani watakaotenda vitendo hivi vya kinyama hata kabla ya tukio la jinai nchini kenya. Yamaanisha, mwenyezi mungu haitaji kufamishwa kwa njia ya wosia au elimu inayotokana na mwanadamu (ambaye uzima wake ni kama upepo upitao mbele Zake) yeyote. ulichoandika hapa inafanana na anayelinganisha makao yake Mungu na mwanadamu, ikikumbukwa ulimwengu huu ni mahali pake pa kukanyagia na bingu ndio makao yake rasmi...
....
....
Anapohitaji kutenda haki na wema kwa waathiriwa wa uchaguzi, hujitenga na waovu, na haki yake huja wakati asipotarajia mwanadamu. Ole wao! wanaoamua kufanya urafiki na kushirikiana kwenye mipango ya makafiri na wanafiki wanaoabudu na kuamini misingi ya kazi ya mikono yao.....
 
and the struggle goes on!:ballchain::hatari::smash::kev::A S-fire1:
 
bila kuthibitisha kwa maandiko ni porojo zisizona uhai wa kiMungu. period
 
dada unavyonena hakuna uMungu ulionao. kwa sasa chakula cha watoto hakitapewa mbwa
 
Back
Top Bottom