Uhuru angeuza izo Dhahabu badala ya kuzirudisha Tanzania.

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
1.mlichoma kuku zetu 5000 za mwana biashara aliye na vibali zote na haki ya kufanya biashara yake.
2.mliuza ngombe za wamasai na kukula izo pesa ikabidi serikali ya Kenya igaramike na kulipa Hao wamasai pesa mingi kwa sababu hizo ngombe ndizo zilikua zinawasaidia kwa Hali Yao ya maisha ya kila siku.
3.mnazuia bidhaa za Kenya kuingia Tanzania ilhali bidhaa za Tz huingia Kenya bila uzuizi wowote.


Uhuru has failed me as a President by licking Tanzanias ass.
Tit for Tat is a fair game and we had a chance to revenge against this bad hearted neighbour's, Magufuli may look happy and friendly towards Uhuru but deep down he has unending hate towards Kenya.
After this generous act let's wait for Tz to return us a favor and I am sure it won't happen in the near future and in future.
I hate acts of bootlicking and Uhuru should go the Trump way of not entertaining enemies who wear a goat appearance but inside they are greedy hyenas.

#myopinion.
 
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Cry baby syndrome
 
Angeuza angejua tz ni nani
Mngeturoga au? [emoji1] Ila kwa maoni yangu rais U.Kenyatta alifanya jambo la busara sana. Ukiwa mtu mwenye akili kubwa, mwenye maono ya mbali zaidi ya pua lako. Huwezi jishushia hadhi kwa kubishana na kulumbana na mtu mbabaishaji ambaye yupo yupo tu, anawaza ubabe kila uchao.
 
Leta tena kuku zenu muone! Sheria ni msumeno baba! Hata Uhuru katumia sheria kurudisha dhahabu ya Tanzania! Hata leo hii mkiingiza mifugo yenu Tanzania itakamatwa halafu pigwa fine mkishindwa inapigwa mnada!
 
Vijana wadogo, le me tell you one thing; do not take a country issues on yourselves. Try to your level best to isolate between the two. Then you'll run the country smoothly. Uhuru managed to do that.
 
A hungry man can't fight. Kinachowasimbua ni njaa, mnalazimisha tuwe ndugu ili tuwape chakula, sikiliza hii" statement" ya katibu MKUU wa KILIMO wa Kenya, anakiri kwamba amekimbilia Tanzania kuomba chakula.
 
Leta tena kuku zenu muone! Sheria ni msumeno baba! Hata Uhuru katumia sheria kurudisha dhahabu ya Tanzania! Hata leo hii mkiingiza mifugo yenu Tanzania itakamatwa halafu pigwa fine mkishindwa inapigwa mnada!
Wala husitumie nguvu kuwaelewesha. Hawa ni tabia yao ya kujifanya kwamba wao "always" wapo sahihi na wengine wanakosea, kwamba wao ni watu wema sana na lazima kila wanalolifanya wao, basi wengine wote lazima wafanye hivyohivyo,.
 
Wala husitumie nguvu kuwaelewesha. Hawa ni tabia yao ya kujifanya kwamba wao "always" wapo sahihi na wengine wanakosea, kwamba wao ni watu wema sana na lazima kila wanalolifanya wao, basi wengine wote lazima wafanye hivyohivyo,.
Nangoja waingize mifugo tena! The shock for their life is waiting them!
 
Ni uhuru au magufuli aliedai hivyo vitu? JPM alimpa Rais wenu order with urgent attention.
 
Hizo movi za yohana .ivi mtuhumiwa nani izo dhahabu
 
Uhuru si ndo raisi wenu??...eeenhee uhuru anajua umuhimu wa Tanzania kwa kenya

We kula githeri tu hapo kibera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…