CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
@
Wazanzibari wanakaribia kutimizanusu karne ifikapo January 12 tokea Mapinduzi ya nchi hiyo, kuna fikra tofauti ya kwamba Wazanzibari ni lazima waanze kusherehekea siku yao ya uhuru pia, uhuru ambao ulipatikanwa siku ya December 10, 1963 kutoka kwa Muingereza.
Wale wanaosindikiza kutambuliwa kwa siku hiyo wengi ni vijana, lakini wengi wa wazee, hususan wale ambao waliopata kushiriki katika Mapinduzi wanapinga wazo la kusherehekea Uhuru na kuienzi siku hii.
Haikubaliki kuisherehekea siku ya December 10 kwa Wazanzibari, nawale wafanyao hivi ni lazima wajue wanafanya makosa na wanawapoteza Wazanzibari wenzao.
Mapinduzi yamegubika unyonge ndani ya taifa la zanzibar na baya zaidi si tu kugubikwa wazanzibari wenyewe lakini pamoja na taifa lao limeshatumbukizwa mnadani, linanadiwa bila idhini yao wazanzibari.
Jee huu si unyonge mkubwa tena unashinda unyonge ule wa wakati wa sultani,wanapigwa,wanavunjiwa nyumba zao,wanabughudhiwa,wananajisiwa,wanafungwa,wananyang'anywa mali zao kisha yadumu mapinduzi!! Laa!! yadumuke juu chini.
WaZanzibar waachwe sasa wapumue.
Kataa serikali tatu, sema kila nchi ijitawale yenyewe, kuwatetea wenzetu wa wazanzabir.
MAPINDUZI=MUUNGANO=UKOLONI.