Uhuru awaita ' wale' majaji majambazi

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
Amesema hana wasiwasi wowote wa kurudia uchaguzi na kuwaita wale majaji ni majambazi. Aliyasema hayo wakati akilihutubia bunge ktk ufunguzi wake. Jaji Mkuu wa Kenya hakuhudhuria sherehe hizo kwa madai kwamba wao kama majaji hawajaalikwa. Source BBC Dira ya Dunia!
 
Jamaa zetu walimsifu sn kuwa baba demo, leo tena kasema odinga hata akishinda hatokaa kwa kuwa watamuangusha bungeni. Kiukweli hizi siasa africa kufata mkumbo .
 
Huyo lazima alipiga kinywaji kama kawaida yake
 
Jamaa wanamtusi rais wetu Uhuru Kenyatta ili tu wajihisi ni mababe kweli! Wanajua wakidhubutu kufanya hivyo kwa mkulu wa upande ule mwingine wa pili. Mamaeeh! Ngoja tarehe kumi na saba swahiba zenu huku Kenya tutawanyamazisha hadi waje na zile sura zao za kangaroo huku wametuliiia. Sasa hivi tuko kwenye kampeni! Kelele na hoja zero na mbwembwe mwitu kama kawa ni kutoka kwa NASA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…