MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bado kijana sana na historia ya Tanzania huijui sawa sawa. Vijana wa JKT walihusika kwenye vita vya Kagera 1978-79!Ni vijana wa taifa, kama kwenu wale wa JKT hawahusiani sana na maswala ya vita.
![]()
Wewe bado kijana sana na historia ya Tanzania huijui sawa sawa. Vijana wa JKT walihusika kwenye vita vya Kagera 1978-79!
Wewe kijana vita hiyo nilihusika (​kabla hujazaliwa). Sikuisikia wala kuelezwa. Kwani kila kitu ni lazima ubishe? Usijifanye mjuaji kwa vitu usivyofahamu. Utaumbuka!Nenda kasome historia uje upya, vita vya Kagera hamukuwa na jinsi wala pa kutokea, ilibidi mtumie hadi wanavijiji, polisi, JKT, wanamgambo, FRONASA ya Yoweri Museveni, Save Uganda Movement ya Akena pOjok, Ateker Ejalu na William Omaria na Kikosi Maalum (Special Unit) ya Lt Col David Oyite Ojok na Col Tito Okello.
Yaani ilibidi mkusanye chochote na kila mtu, wapiganaji wa JWTZ waliongezeka na kuwa 100,000 toka kwa 40,000. Ina maana Amin alikuwa hatari sana. Jamaa hangetoka virahisi, tena jeshi lake lilikua na utovu wa nidhamu sana hivyo hawakupigana kizalendo.
Wewe kijana vita hiyo nilihusika (​kabla hujazaliwa). Sikuisikia wala kuelezwa. Kwani kila kitu ni lazima ubishe? Usijifanye mjuaji kwa vitu usivyofahamu. Utaumbuka!
Wacha kubwabwaja. Wakati mwingine inabidi utulie ili dawa ikuingie vizuri!Siwezi shangaa unaposema ulihusika maana kila mzee Tanzania hudai alipigana na Amin kwenye hivyo vita. Wanavijiji walihusika pia, hivyo uhusika wa JKT hfaufai kushangaza yeyote.
Sina haja. Ila nitakusahihisha pale utakapokosea; kwa kujifanya unajua wakati hujui. Usiwe na wasiwasi!Utahangaika sana.
Nenda kasome historia uje upya, vita vya Kagera hamukuwa na jinsi wala pa kutokea, ilibidi mtumie hadi wanavijiji, polisi, JKT, wanamgambo, FRONASA ya Yoweri Museveni, Save Uganda Movement ya Akena pOjok, Ateker Ejalu na William Omaria na Kikosi Maalum (Special Unit) ya Lt Col David Oyite Ojok na Col Tito Okello.
Yaani ilibidi mkusanye chochote na kila mtu, wapiganaji wa JWTZ waliongezeka na kuwa 100,000 toka kwa 40,000. Ina maana Amin alikuwa hatari sana. Jamaa hangetoka virahisi, tena jeshi lake lilikua na utovu wa nidhamu sana hivyo hawakupigana kizalendo.
Ni kawaida kwa watu wasioelewa kitu kujifanya waerevu. Wewe historia ya Tanzania ulijifunzia wapi? Usijidanganye. Hujui lolote zaidi ya kujiona unajua. Fahamu: mtanga na jua hujuzwa.Itakuchukua muda sana kufikia uwezo wa kunisahihisha. Rudi shule na kama Tanzania kuna shule za wazee.
Whats are u insinuating? Was a give away battle? Hv unajua TPDF forces? Unataka kufananisha na kenya au nchi hapa east africa? Mbona husemi other missions tulizoebda angola, congo, Mozambique na kwingine.
Kenya forces imeenda somalia imetolewa mavi na wahuni tu.
Usilete kabisa ushindani na medani za vita africa. Please!!
Achana nae huyu dogo. Utapoteza muda wako bure. Hajui analoongea!Whats are u insinuating? Was a give away battle? Hv unajua TPDF forces? Unataka kufananisha na kenya au nchi hapa east africa? Mbona husemi other missions tulizoebda angola, congo, Mozambique na kwingine.
Kenya forces imeenda somalia imetolewa mavi na wahuni tu.
Usilete kabisa ushindani na medani za vita africa. Please!!