Uhuru day: Je, Tunawakumbuka wote waloshiriki katika kuupigania uhuru?

Uhuru day: Je, Tunawakumbuka wote waloshiriki katika kuupigania uhuru?

mkanta majura

Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
97
Reaction score
71
Ikiwa bado Dakika chache kufikia madhimisho ya siku kuku ya Uhuru,
Ningependa tuwakumbuke kidogo kwa kuwaelezea, kwa uchache kati ya watu ambao huenda historia haijawataja kabisa ama wametajwa kwa uchache

Kwa kuanza ntaanza

Professor Joshua Mkhulilu

Kama alivo jipa jina baada ya kukata jina la kikoloni la Ken Edward
Ni mjamaica aliekuja Tanzania kwenye Harakati za kusaidia uhuru alikua lecture mlimani pia na ndio dean wakwanza wa Department ya social science, pia ni moja ya watu walochangia sana kuanzishwa kwa chuo cha " AIA ARUSHA " hayo yalikua ni mawazo yake pia
Alisaidia harakati za uhuru kwa kupitia elimu zaidi.

Haya twende kazi kwa kuwataja watu walofanya mazuri na
Kuhakikisha nchi inakua Huru na inapiga hatua za kimaendeleo
 
Back
Top Bottom