UHURU DAY: TUWAKUMBUKE MASHUJAA WA UHURU WA TANGANYIKA

Asante mzee Mohammed, taarifa chache nilizopata hapa kwamba mikutano ya awali ya ukombozi ilifanyikia misikitini hasa Msjidi Idrissa. Hii kwania kuwapoteza maboya wakoloni na vibaraka wao. Weka ukweli kuhusu jambo hilo mzee wetu
 
Kutoka kulia waliosimama:
1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )
2. Nassoro kalumbanya (simba str.)
3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.)
4. Mtoro Ally (Muhonda str.)
5. John Rupia (Misheni kota)
6. Julius Nyerere( Pugu Sekondari ) 7. Said Chaurembo (Congo/ Mkunguni str.)
8. Jumbe Tambaza( Upanga )
9. Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili)
10. Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali kipande )
11. Mshume Kiyate (Tandamti)
12. Juma Sultan (Kitchwele karibu na kanisa dogo )
13. Maalim Shubeti (Masasi/ Likoma)
14. Rajab Simba ( kiungani str.)
15. Waziri Mtonga (Kilosa no.18, Ilala)
16. Mwinjuma Mwinyikambi ( Mwananyamala)
17. Maxi Mbwana ( Aggrey /Kongo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…