Uhuru flags off first Ksh.1.2B crude oil shipment from Mombasa Port

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Rais Uhuru Kenyatta leo amezindua usafirishaji wa mafuta ghafi yanayochimbwa nchi humo katika Kaunti ya Turkana ambayo yanaenda kuuzwa nje ya nchi

Rais Kenyatta ameshuhudia meli yenye mapipa 200,000 ya mafuta yenye thamani ya Ksh. Bilioni 1.2 (zaidi ya Tsh. Bilioni 26.6) ikiondoka kwenda Uingereza

Kuondoka kwa meli hiyo katika bandari ya Mombasa kunaifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kuuza mafuta ghafi inayoyachimba

Katika hatua hiyo, Kenya imesema inatumia shehena hiyo ya kwanza kujaribu soko la Dunia kabla haijaanza kuuza kwa kiwango kubwa zaidi

Rais Kenyatta amesema "Kuondoka kwa meli hii kunaashiria siku mpya kwa Kenya na mwanzo mpya wa ustawi mkubwa kwa Wakenya wote"

Aidha, amesisitiza kuwa "Tutahakikisha maliasili za Kenya zinatumika kwa ufanisi na katika hali itakayoleta faida kubwa leo lakini bila kuharibu faida kwa kizazi kijacho"
********

Kenya’s dream to join the league of petroleum exporting countries became a reality as the first consignment of Kenyan crude oil left the Port of Mombasa on Monday.

The consignment of 200,000 barrels of low sulphur crude from Kenya’s oil fields in Turkana County destined for the United Kingdom is worth Ksh.1.2 billion, a price much higher than what was initially projected.

Kenya is using this initial export to test the global market before it embarks on large scale commercial production of its oil.

The inaugural shipment of the crude oil makes Kenya the first Eastern Africa country to become an oil exporting nation.

The Celsius Riga, the ship carrying the Kenyan crude oil left the Mombasa Port shortly after midday on Monday after it was flagged off by President Uhuru Kenyatta.

President Kenyatta said it was a milestone moment for Kenya as it becomes the first East African country to become an oil exporter.

“I am proud to say Kenya’s grand march to oil and gas production and export has begun. The flagging-off of this maiden consignment represents a new dawn for Kenya; and the beginning of an era of greater prosperity for all Kenyans,” President Kenyatta said.

The President said the government is committed to achieve sustainable development through prudent use of the country’s resources.


“We will ensure that Kenya’s natural resources are utilized in a manner that yields maximum dividends today but without compromising the interests of future generations,” said the President.

Kenya’s Early Oil Pilot Scheme (EOPS) commenced in June 2019 marking the beginning of the journey towards full development of Kenya’s oil and gas resources.

President Kenyatta said EOPS has shown global markets that Kenya possesses the know-how and infrastructure required to facilitate full production of commercial quantities of its oil resource.

The President said that the next phase following the success of the pilot project will include full field development that will be characterized by production and pipeline transportation of crude from Lokichar to the new Port of Lamu.

President Kenyatta said the oil project has already brought benefits for the people of Turkana County, with the local communities directly benefiting from employment opportunities in production and logistics, in addition to provision of ancillary and support services.

“As we proceed to full field development, we will ensure that local communities are major beneficiaries of these resources,” President Kenyatta assured.

He said the government has put in place measures to ensure that the fruits of prosperity are shared with devolved units in an equitable and sustainable manner.

“We have also committed, as a government, to upgrade the Leseru to Lokichar Road; and the modification works at Kenya Petroleum Refinery Limited, to support the Early Oil Pilot Scheme,” said the President at the ceremony held at the Kipevu Oil Terminal inside the Port of Mombasa.
 
Hongera kwao! Utajiri uko mlangoni kwao maana dhahabu nyeusi (mafuta) ni dili.
 
Hongera majirani. I hope yatanufaisha wakenya na sio wageni
 
Tanzania Ipo bize na CHADEMA
 
Kudanganya tu kwa mazoba ,mbona ardhi yote ya Kenya inanufaisha Uko wake tu na kabila lake pia na marafiki Wa Kenyatta.
 
KUMBE MAJIRANI NAO WANA JPM WAO !! WATAPIGA HATUA. SISI TUNAKUJA KWA KASI YA UMEME. AFRICA MASHARIKI JUU JUU ZAID
 
Hongereni Kenya. Soon tutawageuzia kibao na kuanza kuwaita 'Mabeberu'
 
Kudanganya tu kwa mazoba ,mbona ardhi yote ya Kenya inanufaisha Uko wake tu na kabila lake pia na marafiki Wa Kenyatta.
Nilijua tu ipo watanzania wenye kasumba mbaya wataleta negative sentiments kwa uzi huu wa furaha na hatua kubwa kimaendeleo.
Anyway,so far majority of Tanzanians on this thread have been very positive asante na hongera kwao pia.
 
Chapeni kazi majirani zetu,Mungu awabariki sana mzidi kuchanua na kuwa na viongozi wenye hekima na visions
 
Asanteni kwa ndugu zetu watanzania. Tunafurahia heri njema na pongezi kutokana na Kenya kuanza rasmi uuzaji wa mafuta katika soko la kimatifa. Kufaulu kwa Kenya ni kufaulu kwa wa Tanzania na hilo jambo na baraka kwa jumuiya la afrika mashariki
 
HONGERA KENYA ila tukitaka Afrika tuendelee basi lazima tuache kusafirisha mali ghafi, tuuze bidhaa zilizomalizwa ambapo tutalinda ajira na kupata faida maradufu .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…