Uhuru has failed miserably in fighting graft, should learn from Magufuli - Kalonzo

Unajuta wewe na nyumbu wenzako, peleka utoto wako kwenye jukwaa la siasa kwenye ubishi wa kipumbavu.
Achana na watu wa namna hiyo, they can't integrate things, ni watoto wa form four hawa.
 

Watu kama wamepatwa na majanga haijalishi nani anawapa misaada au kwa nia gani, hata kama anatafuta kiki muache, mbona unakua na inferiority complex na kutojiamini, huna haja ya kumpimia hewa mpinzani wako eti atapata umaarufu zaidi yako....duh siasa zenu bana....labda iwe sikuelewa vizuri, lakini kama kweli mliwazuia wapinzani wasitoe misaada kwa wahanga, jameni.......
 
tena kwa kasi. Leo hii jaji mkuu hateuliwi na rais, inabidi Wakenya wenye uwezo wajitokeze na kujieleleza uwezo wao na sifa zao tena mbele ya runinga ya taifa.
naunga mkono hilo la jaji wenyu kutoteuliwa na rais.

ila kuonyesha live kwenye tv mchakato wa kumpata jaji nachukulia tu kama mbwembwe za kikenya.

sambamba na hilo, kwa nchi kama ya Kenya yenye mivutano ya kikabila,jaji kutoteuliwa na rais, sio kinga ya kumfanya atende haki 100%.
 

Dunia hii usitegemee kupata haki 100%, la sio kwa binadamu hata uishi kule ughaibuni hali ni ile ile. Cha msingi tunajizatiti, tunalisukuma gurudumu pamoja na changamoto zote, tunachana mbuga, tunakwenda tu kwa mwendo wa mbele kwa mbele na kila siku ni hatua moja baada ya nyingine, ilmradi heri ya leo kuliko ya jana.
 
Nyinyi Wakenya watu waajabu sana,kama katiba mnayoringia ni ya maana, mbona kwenye maandamano IEBC watu waliuwawa na serikali na hakuna aliyefikishwa mahakamani?mbona Kenya uko kwenye orodha ya nchi zinazoongoza kwa ufisadi mpaka Rais kwenu analia hadhrani?nauliza tena,katiba yenu inawasaidia nini?TZ,tuna katiba ya zamani, lakini ufisadi haupo juu kama wenu.
 
aiseee, nimegundua wakenya wanahofu sana juu ya tanzania kutopup na sio nchi nyingne yoyote hapa afrika mashariki! anyway nina kaswali kadgo.
Hivi kenya lugha yenu ya taifa ni ipi? naomba nifahamishwe tafadhari
 
Ficha ujinga wako mbele za watu .hii forum inasomwa duniya nzima.
 

Ni jambo la kawaida kwa kila mwanasiasa kutumia chochote kile kutafuta umaarufu, hilo lipo hata kwetu, hawa akina Uhuru na Raila huwa hawakawii kutafuta umaarufu panapotokea msiba au janga. Lakini cha msingi ni kwamba kila mmoja anaruhusiwa kufanya yake ilmradi havunji sheria.

Mwanasiasa akiwapelekea wahanga mablanketi, unga na mambo mengine halafu ahutubie kwa kuponda serikali, hilo mbona kawaida tu, sioni kwanini umzuie. Raila na rais Uhuru hutupiana madongo hata kwenye misiba lakini mambo yanaenda maana ndio zao wanasiasa.
 
nimependa mtanzania aliye mkenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…