kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
"Uhuru Kenyatta hatoweza kuhapishwa, kushika nafasi ya Urais wa Kenya' mpaka hapo kesi inayomkabili itakapokuwa imekamilika"
Kwanza Wasifu wa kisiasa wa
Uhuru Kenyatta
Kuingia katika siasa Baada ya kumaliza
masomo alishughulika
hasa na biashara za
familia alizorithi kutoka
kwa babake. Kenyatta aliingia katika
siasa za Kenya
alipoteuliwa kama
mwenyekiti wa tawi la
chama cha KANU
kilichokuwa kinatawala mwaka 1997. Rais
mstaafu Daniel Moi
alimuunga mkono sana
na ilitokana na
msukumo wake ndipo
Uhuru aliingia katika siasa. Wengi walitarajia kuwa
angeshinda lakini baada
ya kushindwa , Uhuru
alighadhabika sana na
hata kuahidi kuasi siasa. Wengi waliona hatua ya
Moi kama kumtayarisha
Uhuru kwa mambo
makubwa katika siku za
baadaye Mara moja akarejea
katika biashara za
familia yake ambazo
zinajumuisha hoteli
tano mashuhuri,
kampuni za vifaa vya ndege na kilimo cha
biashara. Lakini hakujua
kuwa Moi bado alikuwa
na mpango naye kutaka
kumpeleka katika ngazi
za juu. 1999 Rais Daniel arap
Moi alimpa cheo cha
mwenyekiti wa bodi ya
utalii. Moi aliendelea
kumpandisha ngazi
kwa kumpa nafasi ya mbunge mteule na
kumfanya waziri
msaidizi. 2002 akawa makamu
mwenyekiti wa KANU.
Chama cha KANU
kuanzai ahpo kikaanza
kugawanyika huku
vigogo wa chama hicho wakiondoka chamani. Tangu alipoingia katika
ulingo wa Moi, Uhuru
amekwa akitaka
kuonyesha watu kuwa
yeye anaweza
kujitegmea mwenyewe wala sio kibaraka cha
Moi kama wengi
walivyokuwa
wanasema. Baadaye
alimshinda kigogo wa
chama cha KANU Nicholas Biwot
walipogombea
uwenyekiti wa chama
hicho Mgombea wa urais
2002 Tangu Julai 2002
ilionekana wazi ya
kwamba Moi alimtaka
kama mgombea wa
urais upande wa KANU
atakayemfuata katika ikulu. Mkutano mkuu
wa KANU katika mwezi
wa Oktoba 2002
uliitikia mapenzi ya rais
ukamtangaza Uhuru
kama mgombea wa urais. Tendo hili lilisikitisha
wanasiasa wengi
wasiokuwa Wakikuyu
na kutegemea nafasi hii
kwa ajili yao wenyewe.
Waliondoka katika KANU na kuendelea
katika ushirikiano wa
upinzani wa NARC. Uhuru ulishindwa
katika uchaguzi wa
2002 alipata asilimia 31
za kura tu. Kiongozi wa upinzani
na wa chama Katika bunge jipya
alikuwa kiongozi wa
upinzani lakini aliona
pia upinzani ndani ya
chama hasa kutoka kwa
Nicholas Biwott pamoja na wanasiasa kutoka
Bonde la Ufa. Kwenye mkutano wa
chama cha Januari 2005
Uhuru alithibitishwa
kwa kura nyingi na
hapo Biwott akodnoka
chamani na kuunda chama chake cha New
Kanu. Upingamizi dhidi yake
ndani ya KANU Katika kura maalumu ya
wananchi kuhusu
katiba mpya Uhuru
alishikamana na
viongozi wengine
katika kambi ya machungwa. Mipango yake ya
kushiriki katika Orange
Democratic Movement
(ODM) yalipingwa vikali
ndani ya chama kwa
sababu wana KANU pamoja na rais mstaafu
Moi waliogopa kupotea
kwa chama cha kwanza
katika historia ya
Kenya. Katika Novemba 2006
Biwott alirudia jaribio la
kumpindua Uhuru kwa
kuita mkutano wa Kanu
mjini Mombasa bila
idhini ya mwenyekiti wala kamati ya chama. Hapa alichaguliwa
kuwa mweyekiti mpya.
Kwa msaada wa serikali
Biwott alifaulu
kuandikisha kamati
yake kama uongozi rasmi hivyo
kumwondoa Uhuru
katika nafasi ya
kiongozi wa upinzani
bungeni. Uhuru alipinga na
mahakama kuu
ikabatilisha kura ya
Mombasa tar. 29
Desemba 2006
ikathibitisha azimio hili katika Juni 2007. Kuhamia upande wa
Kibaki 2007 Juni 2007 Uhuru
alionyesha wazi ya
kwamba alitaka kuacha
ushirikiano wa ODM
kwa kutopeleka jina
lake kati ya wagombea wa urais upande wa
ODM. Badala yake
alieleza ya kuwa
atampigania rais Kibaki
achaguliwe tena.
Alisema hana nia ya kugombea urais ikiwa
hana uhakika kuwa
atashinda. Kufuatia uchaguzi
uliokumbwa na utata,
Kibaki alitawazwa
kama rais licha ya utata
huo. Kibaki naye
alimteua Uhuru kama waziri wa serikali za
mitaa na baada ya
mapataono kati ya
Kibaki na Odinga ,
Uhuru aliteuliwa kama
naibu waziri mkuu ikiwa ni sehemu ya
kugawana mamlaka. Kenyatta ameweza
kuchaguliwa kama rais
baada ya kumshinda
mpinzani wake Raila
Odinga kwa idadi ya
kura za urais na kupata asilimia hamini nukta
tatu , kama
inavyohitajika na katiba
mpya.
Kwanza Wasifu wa kisiasa wa
Uhuru Kenyatta
Kuingia katika siasa Baada ya kumaliza
masomo alishughulika
hasa na biashara za
familia alizorithi kutoka
kwa babake. Kenyatta aliingia katika
siasa za Kenya
alipoteuliwa kama
mwenyekiti wa tawi la
chama cha KANU
kilichokuwa kinatawala mwaka 1997. Rais
mstaafu Daniel Moi
alimuunga mkono sana
na ilitokana na
msukumo wake ndipo
Uhuru aliingia katika siasa. Wengi walitarajia kuwa
angeshinda lakini baada
ya kushindwa , Uhuru
alighadhabika sana na
hata kuahidi kuasi siasa. Wengi waliona hatua ya
Moi kama kumtayarisha
Uhuru kwa mambo
makubwa katika siku za
baadaye Mara moja akarejea
katika biashara za
familia yake ambazo
zinajumuisha hoteli
tano mashuhuri,
kampuni za vifaa vya ndege na kilimo cha
biashara. Lakini hakujua
kuwa Moi bado alikuwa
na mpango naye kutaka
kumpeleka katika ngazi
za juu. 1999 Rais Daniel arap
Moi alimpa cheo cha
mwenyekiti wa bodi ya
utalii. Moi aliendelea
kumpandisha ngazi
kwa kumpa nafasi ya mbunge mteule na
kumfanya waziri
msaidizi. 2002 akawa makamu
mwenyekiti wa KANU.
Chama cha KANU
kuanzai ahpo kikaanza
kugawanyika huku
vigogo wa chama hicho wakiondoka chamani. Tangu alipoingia katika
ulingo wa Moi, Uhuru
amekwa akitaka
kuonyesha watu kuwa
yeye anaweza
kujitegmea mwenyewe wala sio kibaraka cha
Moi kama wengi
walivyokuwa
wanasema. Baadaye
alimshinda kigogo wa
chama cha KANU Nicholas Biwot
walipogombea
uwenyekiti wa chama
hicho Mgombea wa urais
2002 Tangu Julai 2002
ilionekana wazi ya
kwamba Moi alimtaka
kama mgombea wa
urais upande wa KANU
atakayemfuata katika ikulu. Mkutano mkuu
wa KANU katika mwezi
wa Oktoba 2002
uliitikia mapenzi ya rais
ukamtangaza Uhuru
kama mgombea wa urais. Tendo hili lilisikitisha
wanasiasa wengi
wasiokuwa Wakikuyu
na kutegemea nafasi hii
kwa ajili yao wenyewe.
Waliondoka katika KANU na kuendelea
katika ushirikiano wa
upinzani wa NARC. Uhuru ulishindwa
katika uchaguzi wa
2002 alipata asilimia 31
za kura tu. Kiongozi wa upinzani
na wa chama Katika bunge jipya
alikuwa kiongozi wa
upinzani lakini aliona
pia upinzani ndani ya
chama hasa kutoka kwa
Nicholas Biwott pamoja na wanasiasa kutoka
Bonde la Ufa. Kwenye mkutano wa
chama cha Januari 2005
Uhuru alithibitishwa
kwa kura nyingi na
hapo Biwott akodnoka
chamani na kuunda chama chake cha New
Kanu. Upingamizi dhidi yake
ndani ya KANU Katika kura maalumu ya
wananchi kuhusu
katiba mpya Uhuru
alishikamana na
viongozi wengine
katika kambi ya machungwa. Mipango yake ya
kushiriki katika Orange
Democratic Movement
(ODM) yalipingwa vikali
ndani ya chama kwa
sababu wana KANU pamoja na rais mstaafu
Moi waliogopa kupotea
kwa chama cha kwanza
katika historia ya
Kenya. Katika Novemba 2006
Biwott alirudia jaribio la
kumpindua Uhuru kwa
kuita mkutano wa Kanu
mjini Mombasa bila
idhini ya mwenyekiti wala kamati ya chama. Hapa alichaguliwa
kuwa mweyekiti mpya.
Kwa msaada wa serikali
Biwott alifaulu
kuandikisha kamati
yake kama uongozi rasmi hivyo
kumwondoa Uhuru
katika nafasi ya
kiongozi wa upinzani
bungeni. Uhuru alipinga na
mahakama kuu
ikabatilisha kura ya
Mombasa tar. 29
Desemba 2006
ikathibitisha azimio hili katika Juni 2007. Kuhamia upande wa
Kibaki 2007 Juni 2007 Uhuru
alionyesha wazi ya
kwamba alitaka kuacha
ushirikiano wa ODM
kwa kutopeleka jina
lake kati ya wagombea wa urais upande wa
ODM. Badala yake
alieleza ya kuwa
atampigania rais Kibaki
achaguliwe tena.
Alisema hana nia ya kugombea urais ikiwa
hana uhakika kuwa
atashinda. Kufuatia uchaguzi
uliokumbwa na utata,
Kibaki alitawazwa
kama rais licha ya utata
huo. Kibaki naye
alimteua Uhuru kama waziri wa serikali za
mitaa na baada ya
mapataono kati ya
Kibaki na Odinga ,
Uhuru aliteuliwa kama
naibu waziri mkuu ikiwa ni sehemu ya
kugawana mamlaka. Kenyatta ameweza
kuchaguliwa kama rais
baada ya kumshinda
mpinzani wake Raila
Odinga kwa idadi ya
kura za urais na kupata asilimia hamini nukta
tatu , kama
inavyohitajika na katiba
mpya.