Uhuru Headed for SADC Conference

Repeating this in three threads shows lack of ideas on your part
Denying the truth that Uhuru has to face a judge in the Hague for the crimes he has committed a few years back clearly reveals how narrow minded type of a guy you are!
 
Repeating this in three threads shows lack of ideas on your part

[video=youtube_share;wA9wUIBJnoU]http://youtu.be/wA9wUIBJnoU[/video]

[video=youtube_share;91cVEuS2z-s]http://youtu.be/91cVEuS2z-s[/video]
 
I said wachana na Nonsense bado tu huwachii... South Africa haimuhitaji mpenda damu ya Watu... Wajua Ukishakula Nyama ya Binadamu hutoacha... Kma unaona hili ni jukwaa la Wakubwa basi fahamu wakubwa ndio wamo... wachana kulia lia

yaonekana ulitahiriwa meno wewe
 
yaonekana ulitahiriwa meno wewe

Ndio akili yako imekutuma kuongea hiyo maneno mbovu mbovu... Kwakuwa mamako hajakufunza basi uendeleavyo Dunia itakufundisha na ujinga utaacha kabisa ukibecome adult
 
.
Ndio akili yako imekutuma kuongea hiyo maneno mbovu mbovu... Kwakuwa mamako hajakufunza basi uendeleavyo Dunia itakufundisha na ujinga utaacha kabisa ukibecome adult
lazima walisahau wakakutahiri wewe meno. mamangu mzazi ushamwona? niliandika vizuri post kuchangia mada ya kwanza ukaanza akili za longolongo.
 
.
lazima walisahau wakakutahiri wewe meno. mamangu mzazi ushamwona? niliandika vizuri post kuchangia mada ya kwanza ukaanza akili za longolongo.

Hata kama sijamuona mamako mzazi kwa wajanja wanakuwa na uelewa kwa tabia ya mtu tu unajua huyu mamake hakumfunza fresh.... so wewe ni hasara tupu... ila ndio utaendelea kupata elimu zaidi humu.... Usiache kubisha kwani ndio kufahamu kwenyewe... kwa watu jamii zako...
 
elimu gani utanipa wewe, huwezi hata toa hoja tunazoweka hapa. cowards kama wewe normally fear confronting the truth, ndio mnataka kupost matusi kupinda mada ya kupoteza muda kila wakati kusema eti elimu..., bure ..nenda kdanganye wtanzania kama wewe. ndio endela kuishi katika jamii lakini chunga usipoteze akili
 
Elimu mtaani dot com utaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…