Alafu Kuna jamaa hapa anakasirika eti nimemuita muhindi. Hakuna kitu ametufanyia na hela zake huyu muizi, Ona MO anavyoipa pumzi Simba, kumbuka Manji alivyoilea Yanga lakini huyu m**** yeye hela zake ni CCM tu, dah walahi CCM wametuloga!Yote hiyo ni kwasababu ni CCM financier , halafu mdogo wake ni jangili sijui hata kesi ya wizi wa nyara za serikali iliishia wapi ? Poor Tanzania
anahonga serikali hela ndefu kisha analipa Watanzania hela kidogo?Alafu Kuna jamaa hapa anakasirika eti nimemuita muhindi. Hakuna kitu ametufanyia na hela zake huyu muizi, Ona MO anavyoipa pumzi Simba, kumbuka Manji alivyoilea Yanga lakini huyu m**** yeye hela zake ni CCM tu, dah walahi CCM wametuloga!
Mbona TZ hamjaileta hiyo safaricom yenu
Ethiopia with its long protectionist market might have made the telco companies to slack coz of enjoying monopoly, since safcom is about to go in with its aggressiveness you will see how long it will take to break even.Trust me foreign companies can bring serious competition.Now to answer your question, looking at the telco business environment there are better markets to focus on at the moment than tz, mayb in future plus vodacom iko hukoMbona TZ hamjaileta hiyo safaricom yenu