Uhuru is inspecting not a floating bridge but a "pedestrian" floating bridge!

Bridge itasaidia watu 300,000 kuvuka kila siku. Tutazuia maafa kama yale yaliyofanyika Tanzania meli ilipozama au 1997 ferry ilipozama Kenya. Ni mradi mzuri sijui inalialia nini.
 
what happened to the Likoni bridge? So now when Likoni bridge is built, will the two operate together?
 
Wait until next year January then start to ask these your stupid questions. Yes, the two will operate together since one is for vehicles and the other is for pedestrian.
 
Bridge itasaidia watu 300,000 kuvuka kila siku. Tutazuia maafa kama yale yaliyofanyika Tanzania meli ilipozama au 1997 ferry ilipozama Kenya. Ni mradi mzuri sijui inalialia nini.

Sisi wenye magari hiyo bridge itatusaidia vipi kuvuka kwenda Likoni? au itabidi tu ku-risk life kwa kupanda kile kivuko kibovu?
 
Watu wenye magari ni 6,000 huku wanaovuka kwa miguu ni 300,000. Tumia akili kidogo. Nyinyi wa gari endesheni gari kwenye maji mkazame. Hatuwajali. Mtatumia ferry kama kawaida
 
Dah we jamaa bhana, hujui life ya hao watu 300, 000 yanategemea kuishi kwa hao watu 6,000? Sasa wenye maweng za kutosha ndio wapate tabu ku risk life kwa kivuko kibovu huku makajamba wakijengewa daraja? Gavoo haiojali wale wenye pesa tena eh?
 
Wenye pesa wapande ndege wavuke.
 
Wenye pesa wapande ndege wavuke.

Iko airstrip kule?.. halafu acha kuwa arrogant.. ujue kuna Britons wengi sana kule wangependa usafiri wa uhakika na salama. Sasa wanajenga foot bridge investors na magari yao wapite wapi jameni?
 
Watumie ferry. Hata watalii watafurahia sana maana hakutakuwa na umati wa watu. Hakuna kufinyana tena kwenye ferry.
 
Ndio buda boss.. ila ile ferry imekuwa mzee sana. Hiyo ndo concern yangu.
 
Hii kitu imekaakaa kihatari hatari

Sitashangaa lilkikataa kufunguka!
 
Back
Top Bottom