Uhuru,Kagame,Museveni kukutana Nairobi.

Uhuru,Kagame,Museveni kukutana Nairobi.

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Ma rais Uhuru,Kagame na Museveni kukutana Nairobi mwezi ujao kuendeleza mazungumzo kuhusu reli, bomba la mafuta na shirikisho la EA. Kikwete missing in action yet again. Source The East African.
 
Tanzania tunahitaji rais mwingine anayejali diplomasia na maelewano na nchi jirani. Tukicheza huyu Kikwete atatuingiza vitani!!
 
why they denied again mr jakaya?tiss help us on this for the benefits of future generations
 
Huyu hajui kitu ndo maaana..haya kapeleka wanajeshi sudan wametokewa utumbo 7 jana..ajipange kuhushuria misiba
 
Kuna watu wapumbavu humu,,hata kama vitu sio vya national interests tujiunge tu,mwisho wa siku muanze kulalamika,,,,CDM ikipata nchi angalieni ya morsi yasiwatokee,,
 
mmmh km yana ukweli haya basi ni balaaa jingine hili
 
Kwa hili namtetea rais wangu kwa nguvu zote,sijaona mantiki yakuwalamba viatu hawa viongozi wenye tabia za kike,hawa watusi wawili wanajuana vizuri malengo yao,na uhuru yupo kimaslahi tatizo nini?

Mlitaka kikwete awaombe msamaha au afanye nini? Waacheni watapetape madikteta wasiotaka kuwapisha wengine waongoze nchi zao,
 
Nadhani Kikwete anatamani kipindi chake kiishe ang'oke haraka. Ndani ya nyumba moto unawaka, nje nako ndo usiseme!!
 
Nadhani Kikwete anatamani kipindi chake kiishe ang'oke haraka. Ndani ya nyumba moto unawaka, nje nako ndo usiseme!!
kwa hili mi naona ni pa kuoneshea uwanaume wake, hatakiwi kumbembeleza mtu jiografia inawafanya waitegemee tz. Btw kama watu wa karibu na rais ndo akina mwigulu mnategemea nini?
 
Kuna watu wapumbavu humu,,hata kama vitu sio vya national interests tujiunge tu,mwisho wa siku muanze kulalamika,,,,CDM ikipata nchi angalieni ya morsi yasiwatokee,,

hili linaniuma sna,ila ni CCM imepandikiza chuki hz hatuna tunu za taifa.tumefika hatua ya kupigana mabom cc kwa sisi
 
Kagame anapata jeuri ya kututusi tanganyika, kwasababu anajua ana support ya Museveni na Uhuru. Hili swala ni la kua nalo makini sana tofauti na hapo hao wenzetu wata tugharimu hapo mbeleni kwa mambo yanavyo kwenda hivi sasa.
 
Hao wote wanatakiwa The Hague, watz msiwe na wasiwasi..if u think Kikwete is bad, try Kagame or Museveni/

Its not about trying Kagame ,Museveni or Uhuru ,its about the billions in lost bussiness we stand to loose by snubbing our neighbors. Thats the bottom line. Tragically the helm sits pretty , lovely unconcerned.
"Business of America is business" - Calvin Coolidge US president.
 
Back
Top Bottom