simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
kwa hili mi naona ni pa kuoneshea uwanaume wake, hatakiwi kumbembeleza mtu jiografia inawafanya waitegemee tz. Btw kama watu wa karibu na rais ndo akina mwigulu mnategemea nini?Nadhani Kikwete anatamani kipindi chake kiishe ang'oke haraka. Ndani ya nyumba moto unawaka, nje nako ndo usiseme!!
why they denied again mr jakaya?tiss help us on this for the benefits of future generations
Kuna watu wapumbavu humu,,hata kama vitu sio vya national interests tujiunge tu,mwisho wa siku muanze kulalamika,,,,CDM ikipata nchi angalieni ya morsi yasiwatokee,,
Hao wote wanatakiwa The Hague, watz msiwe na wasiwasi..if u think Kikwete is bad, try Kagame or Museveni/
Tanzania tunahitaji rais mwingine anayejali diplomasia na maelewano na nchi jirani. Tukicheza huyu Kikwete atatuingiza vitani!!