Kwa hili namtetea rais wangu kwa nguvu zote,sijaona mantiki yakuwalamba viatu hawa viongozi wenye tabia za kike,hawa watusi wawili wanajuana vizuri malengo yao,na uhuru yupo kimaslahi tatizo nini?
Mlitaka kikwete awaombe msamaha au afanye nini? Waacheni watapetape madikteta wasiotaka kuwapisha wengine waongoze nchi zao,
Ma rais Uhuru,Kagame na Museveni kukutana Nairobi mwezi ujao kuendeleza mazungumzo kuhusu reli, bomba la mafuta na shirikisho la EA. Kikwete missing in action yet again. Source The East African.
Ukiona Majirani wanakula Njama kukutenga,jichunguze.By the way,Nashukuru Pesa za Watanzania hazijapotea kwa hizi Safari.
Kuna watu wapumbavu humu,,hata kama vitu sio vya national interests tujiunge tu,mwisho wa siku muanze kulalamika,,,,CDM ikipata nchi
angalieni ya morsi yasiwatokee,,
Mbona haijaandikwa popote kwenye latest editon ya The East African? The East African: News - Understanding The Region humu ndani kuna watu kwa makusudi wanachochea nationalism na ku-test public opinion kuhusu mtazamo wa mahusiano na nchi jirani.... Hata hivyo mi naona hata kama the trio of KKK wangekutano bila the fourth K hakuna matata. It is a well known fact that our president in not interested in wasting time meeting with regional leaders, or indeed African leaders. He only associates with them when he wants patronize them. In any case what benefits can you get by wasting time with them? Ndio maana JK anatumia muda wake kuwatafuta viongozi wa maana na kupeana nao mikono, kuongea nao, kuwatembelea, ndio maana safari zake nyingi ni za nje ya Africa, na zimezaa matunda, Obama came!
Kwa hili namtetea rais wangu kwa nguvu zote,sijaona mantiki yakuwalamba viatu hawa viongozi wenye tabia za kike,hawa watusi wawili wanajuana vizuri malengo yao,na uhuru yupo kimaslahi tatizo nini?
Mlitaka kikwete awaombe msamaha au afanye nini? Waacheni watapetape madikteta wasiotaka kuwapisha wengine waongoze nchi zao,
uzi umeanzishwa na simple mind, ningejua nisinge-comment, he is just simple mind, analeta hapa JF imaginary things! Amebuni, nimefungua gazeti la EA hamna story hiyo! Simplemind indeed
uzi umeanzishwa na simple mind, ningejua nisinge-comment, he is just simple mind, analeta hapa JF imaginary things! Amebuni, nimefungua gazeti la EA hamna story hiyo! Simplemind indeed
Kwa hili namuunga mkono Mh.Rais Jakaya Kikwete,jamani sisi kama tanzania lazima tuangalie maslahi yetu,utu wetu na heshima yetu,huwezi kukaa nyumbani na mwanamke/mwanaume ambaye anakudharau na kuangalia maslahi yake tu,pamoja na yoote hayo naamini wao wana uhitaji na sisi kuliko wao,kagame na museveni ni washikaji na wanajuana kwa kila kitu,michezo yao michafu wanayofanya drc inajulikana,huyo kenyeta yeye ni hasira za obama kutokwenda kenya tu ndio zinamsumbua.Ma rais Uhuru,Kagame na Museveni kukutana Nairobi mwezi ujao kuendeleza mazungumzo kuhusu reli, bomba la mafuta na shirikisho la EA. Kikwete missing in action yet again. Source The East African.
Kwa hili namuunga mkono Mh.Rais Jakaya Kikwete,jamani sisi kama tanzania lazima tuangalie maslahi yetu,utu wetu na heshima yetu,huwezi kukaa nyumbani na mwanamke/mwanaume ambaye anakudharau na kuangalia maslahi yake tu,pamoja na yoote hayo naamini wao wana uhitaji na sisi kuliko wao,kagame na museveni ni washikaji na wanajuana kwa kila kitu,michezo yao michafu wanayofanya drc inajulikana,huyo kenyeta yeye ni hasira za obama kutokwenda kenya tu ndio zinamsumbua.
Nafikiri tuwaache waende,kama wakituhitaji watakuja kutufuata,na tusiwe na wasiwasi,watakuja tu.
I thought they are snubbing us for not bowing to their "EAC spirit" bullshit which include land ownership...all this 'collaboration' is not done for the good-heart of their citizens, thats for sure and their selfishness will soon surface. Kwa upande mwingine Tz is a EA superpower and we should be worried about more important matters. Tutapoteza biashara kama tungekua cut-off from EU, Far East (esp. China) au North American markets. We have massive populace for the goods & produces, we have abundant natural resources including gas and Uranium etc etc..ni suala la kujipanga tu hawa kenge wala wasitutishe/Its not about trying Kagame ,Museveni or Uhuru ,its about the billions in lost bussiness we stand to loose by snubbing our neighbors. Thats the bottom line. Tragically the helm sits pretty , lovely unconcerned.
"Business of America is business" - Calvin Coolidge US president.