Uhuru,Kagame,Museveni kukutana Nairobi.

Mi nilijua ni habari ya kweli, Asante kwa kutujuza Kiongozi.

Follow this link .... .. Chinese maze: Uganda



 
Ma rais Uhuru,Kagame na Museveni kukutana Nairobi mwezi ujao kuendeleza mazungumzo kuhusu reli, bomba la mafuta na shirikisho la EA. Kikwete missing in action yet again. Source The East African.

Kikwete had been missing in action and visibily absent in an EAC meeting in Burundi during Kibakis time na kiti chake kikawa empty halikukaliwa na yeyote hata mwakilishi, ni tabia yake ya kawaida, he can only attend an EAC meeting at arusha kwa sababu it is headquarters but it sends a very wrong message for any head of state who needs to leave behind a legacy.

Remember this integration is no longer about fastracking a political federation. kwa hivyo if Tanzania's suspicions is lingering on the same, very sorry it is about opening and increasing economic capacity of the region.

fact:

it is true South sudan is bigger than Tanzania kenya and uganda combined Opening south sudan by creating railway connections, oil pipelines and trade centers that will connect to lappset and uganda oil pipleine

Wafrika viongozi ndio wanatumika kuiharibu hali ya umoja AM. lakini hivi majuzi uhuru alipokuwa mamlakani kikwete hakuwa kwenye meeting ya Uganda, is there anything new? that we do not know
 
Waende zao na unafiki wao. M7 and Uhuru wakafie mbele huko,.! Sioni sababu ya wao kununu ugomvi wa JK na The ugliest president in Africa..!
 

Ombaomba umeona dili, unapewa bila kutumia akili wala jasho lako unaona dili? Harafu unajisifu kuwa wewe . . . . . . hivi umemsifiaje?
 
basi mchunge JK asiwe proverbial fisi kwenye njia panda, LOL yaani kaona SADC na EAC which will only result in kupasuka kuwili.
Tayari Drc yenyewe tanzania inatolewa kijasho na imeshindwa kuikomboa kutoka kwa mikono wa kagame na museveni and it has become a headache for every tanzanian president mpaka mkapa, prompting him to come up with a defence pact ya SADC but the problem still lingers on
na imefanyika kwa miaka zaidi ya ishirini. is it always economically viable and worth dying for? a food for thought!

CC FJM JokaKuu
 

..origin ya SADC defence pact ni Frontline states for the liberation of Southern Africa.

..Frontline states zilianza na Tanzania, Zambia, and Botswana[if not mistaken].

..later on Mozambique, Angola, Zimbabwe, and Namibia, joined in that order after each country was liberated.

..Frontline states walikuwa wanapigana pamoja, na waliamua kwamba ukimshambulia mmoja umeshambulia wote. That is the reasons there were Mozambican soldiers fighting alongside Tanzanians during the war in Uganda. Also, Tanzanians, and Zimbabweans, fought alongside Mozambicans when they were threatened by Renamo bandits who were supported by the CIA,apartheid South Africa, and other puppets African regimes[names withheld].

..from military and defence coorperation, Frontline states decided to establish an organ to coordinate economic cooperation so as to reduce their dependency on apartheid South Africa. That in short is how SADC was established.

NB:

..Namibia,Malawi, Mauritiuse, DRC, siyo original members wa SADC.

..I think SADC was established right after Zimbabwes independence.

cc: Geza Ulole, Kabaridi, Jasusi, Shwari, FJM
 
Last edited by a moderator:
Tanzania tunahitaji rais mwingine anayejali diplomasia na maelewano na nchi jirani. Tukicheza huyu Kikwete atatuingiza vitani!!

Huwezi kujipendekeza kwa mtu ambaye hakuhitaji. Ni sawa na kujikomba kwa mtu ili awe anakupa lift kwenye gari yake. Be mature and free tunahitaji maisha sio mashindano
 
Huwezi kujipendekeza kwa mtu ambaye hakuhitaji. Ni sawa na kujikomba kwa mtu ili awe anakupa lift kwenye gari yake. Be mature and free tunahitaji maisha sio mashindano

Dunia hii maisha yako kwenye economic competition,usipo compete hakuna maisha kwa sasa,mambo yote competition na integration.
 
Raisi wetu si mtuhumiwa wa icc..hao wakina m7 na kagame ni icc convicts to be..uhuru yeye tayari inajulikana wazi,ujambazi na ufadhili wa mungiki ishamland icc..to hell with th devils.
 
kwa hili mi naona ni pa kuoneshea uwanaume wake, hatakiwi kumbembeleza mtu jiografia inawafanya waitegemee tz. Btw kama watu wa karibu na rais ndo akina mwigulu mnategemea nini?

hujayasikia ya kuihama bandari ya Dar kwa rwaanda na uganda...mwisho tar 1/9/2013?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…