Uhuru kenyata ahudhuria listening party ya karun wa camp mulla.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963

Huyu ni member wa zamani wa kundi linalofanya vizuri kwa muziki wa pop east africa namaanisha nazungumzia Camp mulla,lakini hapa namzungumzia Karun member aliyejitoa kwenye kundi ilo yapata miezi miwili sasa kwa sababu ambazo Hawakuziweka wazi lakini mpekuzi wa Thisisdiamond.com inasemekana ni kutokana na kashfa ya picha zake za utupu kuzaga mitandaoni....

Lakini hapa namwangazia kwenye masuala yake binafsi,siku ya jana akiwa amejizatiti kuja kama solo artist ilikuwas party yake ya kusikiliza ngoma yake mpya ambayo hivi karibuni tutaanza kuiskiliza kwenye mitandao na hata redioni,lakini kwa jambo la kheri kabisa sherehe hii ilipambwa zaidi pale Rais wa kenya Uhuru Kenyatta alipoudhuria kusikilizwa kwa nyimbo ya msanii huyu ambae kiasi chake alikuwa nguzo kwenye kundi la Camp Mula.....

Party hii iliuzuliwa na viongozi wengine wa serikalini
pamoja na watu wa karibu wa Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi.....

Baada ya Party Hiyo Miss Karun alitweet kwenye mtandao
wake wa Twitter na kuonesha juu ya furahA yake baada ya kuimba na kusikilizwa kwa kibao chake mbele ya Rais wa Nchi yake.....


 
haka kadem kametoka camp mulla?!
kweli majanga!anajua sana huyu mdada

hivi camp mulla na deal yao na YM inaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…