Uhuru Kenyata ni mwanademokrasia kama Obama

Uhuru Kenyata ni mwanademokrasia kama Obama

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hayo ni maneno ya baadhi ya watu humu.
Kuwa eti kwa yeye kuacha watu waandamane bila kubugudhiwa basi ndo anakuwa mwanademokrasia kama rais Obama.

Bullshit.
Mwanademokrasia gani baada ya kesi dhidi ya ushindi wake kutokwenda vile ambavyo angependa yeye anaanza kumtolea vitisho jaji mkuu wa mahakama ya nchi?

Kama anajiamini na 'ushindi' aloupata kwa nini atoe vitisho kwa mahakama iliyoamua kuwa uchaguzi urudiwe? Huyo Uhuru anachohofia ni nini hadi aanze kutoa vitisho kwa jaji mkuu?

Hivyo vitisho vyake vya kitoto vinachangia watu kuamini kuwa yule bwana Msando si ajabu aliuliwa na watu wa huyo Uhuru na pia kwamba Uhuru hakushinda kihalali bali alibebwa na figisu za tume ya uchaguzi ambayo ilikuwa inatumika kuhakikisha Uhuru 'anashinda'.

Mwanademokrasia wa kweli na anayejiamini hawezi kutoa vitisho juu ya mhimili mwingine wa serikali pamoja na kiongozi wake.

Huyo Uhuru si lolote na si chochote. Mnamwona ni mwanademokrasia tu pale ambapo labda maslahi yake hayapo hatarini. Yakiwa hatarini hana tofauti yoyote ile na akina Kagame na Museveni.

Hata siku moja sikuwahi kumsikia Obama akimtishia Chief Justice John Roberts. Mimi naamini kabisa kuwa kama kweli uchaguzi wa Kenya utakuwa wa huru, haki, na wazi basi Raila atashinda.

Miaka yote hii wamekuwa wakimfanyia figisu. Mwaka 2007 ndo alishinda dhahiri kabisa na wakampora ushindi wake mchana kweupe bila hata aibu.
We umeona wapi jitu linaapishwa uani tena jioni karibu giza kuingia?

Hata 2013 naamini Odinga alifanyiwa figisu. Mwaka huu hata mahakama yao kuu imeliona hilo. Sasa huyo Uhuru anaanza kuweweseka kwa sababu the jig might be up. Vitisho vya nini kama ulishinda kihalali? Vitisho vya nini kama unajiamini kuwa utashinda tena uchaguzi ukirudiwa?

So, no. He ain't no Barack Obama. He ain't no like Barack Obama.
Maybe more like Donald Trump who also has a penchant for railing against judges who don't rule in his favor.
 
Dont put Obama and this Drunkard priviledged Third Respondent in the same sentence

Obama ni mwana demokrasia

Uhuru anajikaza kufwata katiba - ambayo anapaswa afwate

Kila korna ya katiba isiyo ambatana na mawazo yake anataka kubadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaboa sana kumtishia jaji mkuu.

Sasa hivi lolote baya litalomtokea Jaji Maraga huyo Uhuru litamhusu.
 
Binafs nilimsikiliza Kenyatta vzr sana na kwa uelewa wng ni kwamba atawaonyesha ktk uchaguz ujao kwa kushinda kwa kishindo kikuu zaid ya huo uliofutwa...
 
Didn't Raila Odinga do the same thing with unprocedurally wanting to remove Isaak Hassan and other IEBC commissioners ? Did you realize that went against the constitution?
Yes juu isak hassan na maraga are of the same breed

Isaak hassan had already broken the law .....he wasn to be treated with any procedures
Kenya rewards corruption....

Isaac hassan na chicken gate illegal tenders ya ballot ....hyo pekee is enough to put someone in Jail but those iebc comms were rewarded 28mil each for that

Smh...skuizi mnatetea kitu yoyote bora iseme iko jubilee hakuna haja hata kama kimeuwa watoto millioni moja bora tu iseme nko team tano tena tayari ashakuwa mtu wenu

Tell me what has maraga done to warrant removal from office???
---Didnt the court proof that nearly 400 unauthorised log ins were made to the IEBC on the night of election??
----Didnt the court proof that Uhuru used Jubilee CSs to campaign?
---- Didnt the court proof of more than 1/3 form 34as missing or were made up?
---- Didnt the court proof that nearly 5mn votes were in one way or another tampered with?????

How is maraga now the villain eeeh?? For being just ??? https://jamii.app/JFUserGuide you and ur tribal mind mnaboa sana nyi watu...kama mnadhani Uhuru alishinda justly its 58days to go!! Mtajua kama ni Ukweli ama uongo

Isaac hassan used 345mn $ to acquire bvr that failed country wide

Yeah NCHI MZIMA 345mn$
He refused to take Okoa Kenya signature before the signatures were even presented to IEBC

......

Chebukati logged into IEBC PORTAL 9000 times added and deleted information personally which is Breaking the law yeah

9000 times ngoja muone akienda jela soooon!!!!!!!........

Kama Uhuru alishinda Anyamaze angojee debe sio kutapa tapa kila korna

Comparing maraga na hassan hapa wht BS is this !!!

Mnasinya na hii blind psychophancy Yenu !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One day we will be voting in EACC Police and military heads CJ and DCI commisioners Either by parliament or a representation of citizens or by elections and THAT IS THE DAY KENYA WILL BE CORRUPTION FREE this people appointed to posts by other people in Power are what is bringing Kenya down!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obama ni product ya nchi anayoingoza pia. Uhuru naye angekuwa American president asingesema hayo kuhusu Jaji. Uhuru kwa Africa ni mfano mzuri, kila mtu ana mapungufu yake. Analogy ya Obama na Uhuru umeitumia vibaya. Trump angekuwa African president angekuwa bonge la dikteta. System inambana Trump
 
Kaboa sana kumtishia jaji mkuu.

Sasa hivi lolote baya litalomtokea Jaji Maraga huyo Uhuru litamhusu.

Uhuru karopokwa ovyo hata mimi sikuipenda, ndio Afrika kumbuka hata upande wa pili, NASA walikua wamejiandaa kuigawa nchi mara mbili kama uamuzi wa mahakama haungeendana nao. Tamko lao lilikua wazi “If change cannot come through the ballot, it will come through the bullet.”

Kwa vyovyote vile we are damned either way, we are headed into a dark path, the country is getting divided than ever, right now country is filled with nothing but hate. All this for what, a mere presidency...... Both leaders should tame their lieutenants and allow the country to continue existing.
I am so sure even if we repeat the election, it won't matter who wins, the amount of hate piling up has destroyed every little that was remaining. How I wish there was a 3rd party who can come out of nowhere and grab the presidency.
 
Binafs nilimsikiliza Kenyatta vzr sana na kwa uelewa wng ni kwamba atawaonyesha ktk uchaguz ujao kwa kushinda kwa kishindo kikuu zaid ya huo uliofutwa...
Kuna watu wakiskia wimbo wa demokrasia ya Kenya mnawashwa matakoni
haha kama kuiba kura ni udrmokrasia bas hat ccm kule zanzibar pia ina democrasia

Yeah it's really sad.

But I don't really understand why some were so quick to brand Uhuru as the paragon of democracy in Africa, an exemplar leadership, and blah blah.

That's because he supposedly said let people demonstrate so long as they are not breaking the law.

He probably only said that because he felt his interests were not seriously threatened.

But now after the supreme court's rulling he seems to have lost his mind.

It actually makes some of us wonder if he won the election!

Because if he won fairly and is so confident of another win, then why the threats???

Things that make you go hmmm.......
 
Yeah it's really sad.

But I don't really understand why some were so quick to brand Uhuru as the paragon of democracy in Africa, an exemplar leadership, and blah blah.

That's because he supposedly said let people demonstrate so long as they are not breaking the law.

He probably only said that because he felt his interests were not seriously threatened.

But now after the supreme court's rulling he seems to have lost his mind.

It actually makes some of wonder if he won the election!

Because if he won fairly and is so confident of another win, then why the threats???

Things that make you go hmmm.......

I think his press conference speech immediately after court released their verdict is what got everybody admire him, most people expected him to go berserk and refuse to abide by the supreme court. But he put it out that he 'disagrees with the court decision, however he will respect it'. Everybody respected him for that, but later when he got into campaign mood in the frenzy of charged up multitudes, he went overboard.

Anyway, personally I don't take politicians seriously and they can always take a 360 from their own words. What matters for me right now is how we will get out of all this murk safely.
 
Agreed.

Peace is the name of the game.
 
Binafs nilimsikiliza Kenyatta vzr sana na kwa uelewa wng ni kwamba atawaonyesha ktk uchaguz ujao kwa kushinda kwa kishindo kikuu zaid ya huo uliofutwa...
Kuna watu wakiskia wimbo wa demokrasia ya Kenya mnawashwa matakoni
Wewe hukumsikiliza Kenyatta,ungemskiliza usingeandika uongo uliopo kwenye post yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni maneno ya baadhi ya watu humu.

Kuwa eti kwa yeye kuacha watu waandamane bila kubugudhiwa basi ndo anakuwa mwanademokrasia kama rais Obama.

Bullshit.

Mwanademokrasia gani baada ya kesi dhidi ya ushindi wake kutokwenda vile ambavyo angependa yeye anaanza kumtolea vitisho jaji mkuu wa mahakama ya nchi?

Kama anajiamini na 'ushindi' aloupata kwa nini atoe vitisho kwa mahakama iliyoamua kuwa uchaguzi urudiwe?

Huyo Uhuru anachohofia ni nini hadi aanze kutoa vitisho kwa jaji mkuu?

Hivyo vitisho vyake vya kitoto vinachangia watu kuamini kuwa yule bwana Msando si ajabu aliuliwa na watu wa huyo Uhuru na pia kwamba Uhuru hakushinda kihalali bali alibebwa na figisu za tume ya uchaguzi ambayo ilikuwa inatumika kuhakikisha Uhuru 'anashinda'.

Mwanademokrasia wa kweli na anayejiamini hawezi kutoa vitisho juu ya mhimili mwingine wa serikali pamoja na kiongozi wake.

Huyo Uhuru si lolote na si chochote. Mnamwona ni mwanademokrasia tu pale ambapo labda maslahi yake hayapo hatarini. Yakiwa hatarini hana tofauti yoyote ile na akina Kagame na Museveni.

Hata siku moja sikuwahi kumsikia Obama akimtishia Chief Justice John Roberts.

Mimi naamini kabisa kuwa kama kweli uchaguzi wa Kenya utakuwa wa huru, haki, na wazi basi Raila atashinda.

Miaka yote hii wamekuwa wakimfanyia figisu. Mwaka 2007 ndo alishinda dhahiri kabisa na wakampora ushindi wake mchana kweupe bila hata aibu.

We umeona wapi jitu linaapishwa uani tena jioni karibu giza kuingia?

Hata 2013 naamini Odinga alifanyiwa figisu. Mwaka huu hata mahakama yao kuu imeliona hilo.

Sasa huyo Uhuru anaanza kuweweseka kwa sababu the jig might be up.

Vitisho vya nini kama ulishinda kihalali?

Vitisho vya nini kama unajiamini kuwa utashinda tena uchaguzi ukirudiwa?

So, no. He ain't no Barack Obama. He ain't no like Barack Obama.

Maybe more like Donald Trump who also has a penchant for railing against judges who don't rule in his favor.

Miafrika ndivyo tulivyo brother!
 
Uhuru ametoa povu balaa.
Anamtishia jaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Urais mtamu aisee

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Back
Top Bottom