nkosikazi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 361
- 337
Nimesikiliza kwa masikitiko makubwa sana pale rais wa Kenya, bw. Uhuru Kenyatta akilihutubia baraza la Umoja wa Mataifa mbele ya viongozi wote wakuu wa dunia, aliongelea jinsi Kenya ilivojizatiti kujikinga na ugonjwa wa ebola na akamsifia sana "First Lady of Kenya, Mrs. Kenyatta,for a very good job that she is doing....". Nimesikia aibu sana sana! Kwamba Kenyatta hana hekima hata kidogo kuwa ni aibu kumpa cheo mkeo kisichomstahili na kuja all the way huko UN ughaibuni na kumsifia kwa kazi nzuri anayoifanya! Shame on him!