Sijaiona hekima ya rais wa Kenya kwenda New York, Marekani, na kumsifia mkewe kwenye mambo ambayo viongozi wenzake hawayajui. Hata angefanya vizuri vipi hakupaswa kumsifia kwenye hadhira ile. Hapakuwa mahali pake. Naamini Kikwete hawezi kufanya hivyoMwenye hekima ni nani sasa??? Kikwete ?????
Yeye anasema nchi yake iko vizuri sana. Inapiga maendeleo kwa msaada wa wakubwaAiiiiiiseeeee bora ni Kenyatta nilijua labda ni huyu wa kwetu, mbona pangekuwa padogo hapa nyumbani..!! Na watu wanavyomchukia....
Enheeee mleta mada hujapatako ka Speech ka FastJet wetu angalau tujue kilichompeleka huko na kukaa karibu wiki mbili akimwaga POINT ktk mataifa ya Wakubwa huko
Fanya hima mkuu tuwekee tujue mzee wetu this time katuombea nini maana bado kale ka umeme tulikoahidiwa na kaka yetu Obama hatujakaona vipi tripu hii katuombea vyandarua au madawa na mabanzi ya kutengenezea mahema ya kujikinga na Ebola..??
BACK TANGANYIKA
Duh, nadhani haya ni madhara ya kuchanganya msuba na viroba. Jamaa anafikiri hapo UN yupo kijiweni sio?Nimesikiliza kwa masikitiko makubwa sana pale rais wa Kenya, bw. Uhuru Kenyatta akilihutubia baraza la Umoja wa Mataifa mbele ya viongozi wote wakuu wa dunia, aliongelea jinsi Kenya ilivojizatiti kujikinga na ugonjwa wa ebola na akamsifia sana "First Lady of Kenya, Mrs. Kenyatta,for a very good job that she is doing....". Nimesikia aibu sana sana! Kwamba Kenyatta hana hekima hata kidogo kuwa ni aibu kumpa cheo mkeo kisichomstahili na kuja all the way huko UN ughaibuni na kumsifia kwa kazi nzuri anayoifanya! Shame on him!
Mwenye hekima ni nani sasa??? Kikwete ?????
Nimesikiliza kwa masikitiko makubwa sana pale rais wa Kenya, bw. Uhuru Kenyatta akilihutubia baraza la Umoja wa Mataifa mbele ya viongozi wote wakuu wa dunia, aliongelea jinsi Kenya ilivojizatiti kujikinga na ugonjwa wa ebola na akamsifia sana "First Lady of Kenya, Mrs. Kenyatta,for a very good job that she is doing....". Nimesikia aibu sana sana! Kwamba Kenyatta hana hekima hata kidogo kuwa ni aibu kumpa cheo mkeo kisichomstahili na kuja all the way huko UN ughaibuni na kumsifia kwa kazi nzuri anayoifanya! Shame on him!