pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Turudi pale mwanzoni nilipokuuliza, hujui kusoma au ni ung'eng'e ndio unakulemea? Rais analalama kuhusu sera na sheria mbovu za utumizi wa ardhi na sehemu ambazo zina rotuba na mvua ya kutosha Kenya. Lengo la malalamishi yake ni kwamba Kenya iache kutegemea 'imports' kutoka nje. Wewe hapo na kichwa chako cha kubebea meno tu umesikia jina 'food' ukapandwa na nyege.Hahahaha, kwahiyo rais wako anavyolalamika kwamba Kenya haiwezi kujilisha inategemea Uganda na Tanzania, na kuonya kwamba hali itazidi kuwa mbaya zaidi siku zijazo alikua amevuta bhangi sio kweli?. Tanzania hoyeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
We can't feed ourselves, we depend on food imports from Uganda, Tanzania and other countries. "Kenya can't feed itself". Tanzania hoyeeee.Turudi pale mwanzoni nilipokuuliza, hujui kusoma au ni ung'eng'e ndio unakulemea? Rais analalama kuhusu sera na sheria mbovu za utumizi wa ardhi na sehemu ambazo zina rotuba na mvua ya kutosha Kenya. Lengo la malalamishi yake ni kwamba Kenya iache kutegemea 'imports' kutoka nje. Wewe hapo na kichwa chako cha kubebea meno tu umesikia jina 'food' ukapandwa na nyege.
Hahaha! πWe can't feed ourselves, we depend on food imports from Uganda, Tanzania and other countries. "Kenya can't feed itself". Tanzania hoyeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
So huyo anayesimama nyuma ya Rais ni sehemu ya hio special force YET ANAVAA sare ya NAVY?Analindwa na officers kutoka recce company na special forces from army.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umemeandika ukiwa unagonga meza na kusema ndiyooooShenzi sana huyu, akachukue mahindi Zambia. Amechanvia sana kutuharibia soko la mahindi eti mahindi ya Tz machafu akawa anaagiza Zambia. Leo Zambia wana upungufu wa mahindi anajifanya watu wake hawajui kulima. Hakuna mwaka Kenya ilishajitosheleza kwa nafaka. Na wakenya wanajifanya wameendelea sana na kutudharau Watz. Mtakula jeuri yenu plus alshabab.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe mleta mada huwa unasoma kwanza na kuelewa hizi taarifa kwenye hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Rais Uhuru Kenyatta alisema kwamba Kenya bado inategemea imports(ambazo inanua) za vyakula ili kujitosheleza. Sasa hapo kuna nini cha ajabu wakati inafahamika wazi kwamba ardhi ambayo ina rotuba ya kutosha kuzalisha vyakula kwa uhakika Kenya ni 9% tu. Yaani 91% ya Kenya ni 'arid'/jangwa na 'semi-arid'.
nimetulia sana. Sema ninavyowachukia wakenya, ninaposikia habar zao nashikwa na hasira kishenzi.
They are busy with peace keeping in Somaliland while there families are starving. To hell!Unatuangusha mzee baba, this is 2019, in that desert you can dig billions of liters of water for Irrigation, besides,
How many hectors of Land do u need to feed your 40mn kenyans, mko na lake Victoria, Cant you do Plantations? Kwa Mfano, Israel Donates food to Kenya despite its negligible landmass and 100% desert,
Mpende jirani yako. Teh..teh..teh.teh.Yaache tu yafe njaa hayo manyang'au.
Unatuangusha mzee baba, this is 2019, in that desert you can dig billions of liters of water for Irrigation, besides,
How many hectors of Land do u need to feed your 40mn kenyans, mko na lake Victoria, Cant you do Plantations? Kwa Mfano, Israel Donates food to Kenya despite its negligible landmass and 100% desert,
Yes from navy,that is aide-de camp is just personal assistant for that matter but really security is provided by men who can hardly be noticed including men with fake hands.So huyo anayesimama nyuma ya Rais ni sehemu ya hio special force YET ANAVAA sare ya NAVY?
Sent using Jamii Forums mobile app
Our special force is made up of gallant men and women from navy,army and airfoce who have undergone special training to handle special issues.So huyo anayesimama nyuma ya Rais ni sehemu ya hio special force YET ANAVAA sare ya NAVY?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuvaa sare ya Navy inamuzuia kutoka from special forces? Even our chief of staff of our defence forces is from the NAVY.So huyo anayesimama nyuma ya Rais ni sehemu ya hio special force YET ANAVAA sare ya NAVY?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaShenzi sana huyu, akachukue mahindi Zambia. Amechanvia sana kutuharibia soko la mahindi eti mahindi ya Tz machafu akawa anaagiza Zambia. Leo Zambia wana upungufu wa mahindi anajifanya watu wake hawajui kulima. Hakuna mwaka Kenya ilishajitosheleza kwa nafaka. Na wakenya wanajifanya wameendelea sana na kutudharau Watz. Mtakula jeuri yenu plus alshabab.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilijua nyumbu tulionao bongo kumbe Kenya nao wapo,wangeungana na hawa wa hapa kwetu wakatengeneza Taiga lao.President Uhuru Kenyatta now admits that Kenya cannot feed itself : SDV.
My take: Tunawaomba majirani zetu mje kujifunza jinsi ya matumizi bora ya ardhi. Rais wenu anakiri kwamba ardhi ya Kenya haitumiki vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app