Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Hapa sijui kulikuaje tena wadau, lakini jamaa anaonekana kamkasirisha Rais Uhuru mpaka akamchapa kibao afu
jamaa kachukuliwa mzobe mzobe na walizinzi wake..najua alijuta huko alikopelekwa.
mfianchi, Ngongo, ukwelikitugani, Askari Kanzu,
jamaa kachukuliwa mzobe mzobe na walizinzi wake..najua alijuta huko alikopelekwa.
Last edited by a moderator: