Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Hatari....rais hakuwa intoxicated kweli?
Angeenda na mwanasheria waandikishane kuwa angepigwa hakuna madai!!!Tena nasikia siku moja kuna jamaa alimsemea mbovu mamake uhuru,rais akasikia,akawasha gari mpaka club jamaa anapohangout ili wakamalizane man to man,jamaa kusikia rais amekuja wazipige ndondi,akasepa kupitia mlango wa nyuma.
Jamaa hataki masikhara kabisa....
Hapa sijui kulikuaje tena wadau, lakini jamaa anaonekana kamkasirisha Rais Uhuru mpaka akamchapa kibao afu
jamaa kachukuliwa mzobe mzobe na walizinzi wake..najua alijuta huko alikopelekwa.
mfianchi, Ngongo, ukwelikitugani, Askari Kanzu,