Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Kwa yapi ya kuiga,maana anachosema na anachotekeleza ni tofautiUhuru Kenyatta, Baba wa Demokrasia. Inapaswa Tanzania tuige.
Sent by Samson Cyper
Kweli kabisa. Chadema wanahimiza tumuige Uhuru Kenyatta. Hata dada Mange naye pia anatuhimiza hivyo hivyo.Uhuru Kenyatta, Baba wa Demokrasia. Inapaswa Tanzania tuige.
Sent by Samson Cyper
Waswahili walisema ukiiga tembo kunya utapasuka msambaππKweli kabisa. Chadema wanahimiza tumuige Uhuru Kenyatta. Hata dada Mange naye pia anatuhimiza hivyo hivyo.
Chadema wanasema wacha tupasuke msamba tu, lakini tuwaige wakenya.Waswahili walisema ukiiga tembo kunya utapasuka msambaππ
hahahahahahahahahah Balaaaaa kubwa sanaKweli kabisa. Chadema wanahimiza tumuige Uhuru Kenyatta. Hata dada Mange naye pia anatuhimiza hivyo hivyo.