Uhuru Kenyatta atumia jeshi baada ya mgomo wa wafanyakazi JIA, lakini akitumia Rais Magufuli hapa kwetu ni dikteta!

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Jeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure.

Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.

je, katumia busara kulitumia jeshi badala ya kukaa na wafanyakazi waliogoma na kumaliza mgomo wao?

Kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi.

Je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wanunuzi wa korosho au walimaji wa korosho waligoma??

Jeshi kutumika kukagua maduka ya kubadilishia fedha na kuyafunga hao wamiliki wa hayo maduka walipewa notice wakagoma??

Bora kenyata anasababu za msingi kuliko Magufuli kwa sababu korosho ameshapata zero.
 
Nimeliona jeshi la anga la kenya likiwa kazini, sema sare zao mbaya utafhani wameshona vitenge

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa just hahahaaa
20190306_190808.png

Wale wazee wa weka picha wasijeuliza😂😂
 
Mkuu mleta mada,labda tu hujui.Pale JNIA kitengo cha Usalama na Ukaguzi wale unaowaona karibu 75% ni wanajeshi toka JWTZ,tofauti ni kuwa wale hawavai sare za JWTZ lakini wengi ni wanajeshi walioazimwa toka jeshini.Hivyo hata kabla ya wewe kusema,tayari pale JNIA kuna wanajeshi kuanzia kitengo cha Usalama na Ukaguzi,Waongoza ndege na hata nasikia waegesha ndege.

Pale JNIA pia huwa kuna kitengo cha kutegua mabomu,na hiki kiliimarishwa zaidi baada ya mashambulio ya Ugaidi,na wapo pale kwa masaa 24 ili kukabiliana na tatizo lolote linalohusu tishio la bomu eneo la kiwanja.Pia kuna patrol ya masaa 24(hii sina hakika kama bado ipo mpaka leo),hawa nao ni JWTZ,wanaofanya "patrol" pale uwanjani kuzunguka eneo lote kwa masaa 24.

Kwa hiyo hata kabla ya aina hiyo ya rabsha ya JOMO KENYATA sisi tulishakuwa na JWTZ katika kiwanja chetu na wanafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.Kifupi kiwanja bila "attachment" ya jeshi ni sawa na nyumba bila komeo,walichofanya Kenya leo ni kuleta tu wenye uniform,ambao sisi Tz tayari tunao ili ni vile tu huwa hawavai uniform
 
Jeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure. Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.
je, katumia busara kulitumia jeshi badala ya kukaa na wafanyakazi waliogoma na kumaliza mgomo wao? kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi. je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
kulinganisha kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha mwanamke na mwanaume? kenya wanaishi binadamu, Tanzania wanaishi maishi wanaotembea! jitu halijaongezewa mshahara MIAKA 3 kisha kila siku linaenda ofisini. ukiliuliza linakwambia limesoma?
 
Kwa hiyo wanunuzi wa korosho au walimaji wa korosho waligoma??

Jeshi kutumika kukagua maduka ya kubadilishia fedha na kuyafunga hao wamiliki wa hayo maduka walipewa notice wakagoma??

Bora kenyata anasababu za msingi kuliko Magufuli kwa sababu korosho ameshapata zero.
Chuki binafsi,utakufa na kijiba cha roho,swine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi Ni chombo cha usalama ambacho hutumika kukiwa na emergency sababu huwa muda wote lipo tayari na kwa mara nyingi hapa kwetu Rais wetu amekuwa akilitumia mara kwa mara punde kunapotokea emergency yoyote, na huwa analiamini kwa kufanya shughuli kwa ufanisi, haraka na kwa gharama sawa na bure. Leo jirani yetu Kenya kumetokea mgomo wa wafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta akaamuru KDF kuingilia kati kwa kufanya shughuli zote baada ya wafanyakazi kugoma.
je, katumia busara kulitumia jeshi badala ya kukaa na wafanyakazi waliogoma na kumaliza mgomo wao? kwetu hapa malalamiko haya yangekuwepo watu wagome na Rais aamuru jeshi kunusuru hii hali angeandikwa ni DIKTETA hilo halina ubishi. je, ingekuwa hapa kwetu stori zingekuwaje make huwa kuna malalamiko kwa kutumia jeshi kila wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani ulitaka Tz ifuate Sheria na Katiba ya Kenya?
 
Kwa hiyo Uhuru akitumia vibaya madaraka yake inahalalisha Magufuli kuwa Dikteta.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajeshi wana uwezo wa kila kitu
Ni sawa kabisa naunga mkono
Hata fire walipogoma UK wanajeshi walitumiwa
Wanajeshi wapo kwa kazi zote kama watahitajika sio kupigana tu hata uokoaji huwa wanatumika sana na hata kwenye mafuriko.

Watoto wanauana sana Uingereza na police wameshindwa kudhibiti sasa wanataka jeshi liingie mtaani

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom