johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais mstaafu mzee Mwinyi aliwahi kusema Kazi iliyowashinda marais watatu yeye Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu.
Jana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema atastaafu mwezi august akiwa ameiletea nchi hiyo maendeleo ambayo watangulizi wake wote anzia mkoloni ukiwahanganya pamoja walishindwa kuyafikia.
Rais Uhuru aliyasema hayo kwenye sherehe za Siku ya Madaraka kupitia
Citizen TV