Picture and source pleaseMnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Sera za maridhiano hupelekea hali za kuaminiana kama hizi:
Uhuru Kenyatta Caught Off guard in Traffic.
Sera za kinunda nunda hupelekea yale ya kuombeana vifo, kuoteana vifo nk kama tunayoyashudia makwetu leo.
Niseme kabla ya kuhitimisha Lumumba buku 7 mafanikio kama hayo hayawuhusu hivyo nyie na midomo yenu michafu ya matusi vitu kabila achaneni navyo tu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Sera za maridhiano hupelekea hali za kuaminiana kama hizi:

Naona bado sana uelewa wako wa maswala ya usalama uko chini ya kiwango!!Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Sera za maridhiano hupelekea hali za kuaminiana kama hizi:
Uhuru Kenyatta Caught Off guard in Traffic.
Sera za kinunda nunda hupelekea yale ya kuombeana vifo, kuoteana vifo nk kama tunayoyashudia makwetu leo.
Niseme kabla ya kuhitimisha Lumumba buku 7 mafanikio kama hayo hayawuhusu hivyo nyie na midomo yenu michafu ya matusi vitu kabila achaneni navyo tu.
Picture and source please
Naona bado sana uelewa wako wa maswala ya usalama uko chini ya kiwango!!
Hamna kuridhiana na upinzani uchwara wa tz. Kama wamramua kucheza gemu JPM anacheza nao hivyo hivyo wanavyotaka wao.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Sera za maridhiano hupelekea hali za kuaminiana kama hizi:
Uhuru Kenyatta Caught Off guard in Traffic.
Sera za kinunda nunda hupelekea yale ya kuombeana vifo, kuoteana vifo nk kama tunayoyashudia makwetu leo.
Niseme kabla ya kuhitimisha Lumumba buku 7 mafanikio kama hayo hayawuhusu hivyo nyie na midomo yenu michafu ya matusi vitu kabila achaneni navyo tu.
Jambo la busara.Ngoja na sisi tuweke mazingira soon tutafanya hii.
Hamna kuridhiana na upinzani uchwara wa tz. Kama wamramua kucheza gemu JPM anacheza nao hivyo hivyo wanavyotaka wao.
Ni afadhari uridhiane na nzi kuliko ufipa.
Aisee, ujinga ulioubeba ni mzigo wako mwenyewe. Usitafute huruma. Unajua walikuwapo kina nani ktk huo msafara na walikuwa na shughuli gani?Hivi hata hujihurumii achilia mbali kumhurumia huyo jiwe? Starehe gani anayo kwa mtaji kama huu?
Aisee, ujinga ulioubeba ni mzigo wako mwenyewe. Usitafute huruma. Unajua walikuwapo kina nani ktk huo msafara na walikuwa na shughuli gani?
Ujinga wako komaa nao mkuu mpaka ufike nao unakoenda ila hamna wa kukusaidia kuubeba hata utafute huruma namna gani. Zigo lako hilo mwenyewe.
Ujinga sio tusi.Wasalimu Lumumba buku 7. Lugha za matusi peleka huko huko.
Kwa zile nota bene zote zile umefuata nini huku. Wa kutukanana naye umemkosa. Matusi peleka huko huko yatakusaidia.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Sera za maridhiano hupelekea hali za kuaminiana kama hizi:
Uhuru Kenyatta Caught Off guard in Traffic.
Sera za kinunda nunda hupelekea yale ya kuombeana vifo, kuoteana vifo nk kama tunayoyashudia makwetu leo.
Niseme kabla ya kuhitimisha Lumumba buku 7 mafanikio kama hayo hayawuhusu hivyo nyie na midomo yenu michafu ya matusi vitu kabila hii achaneni navyo tu.
Ujinga sio tusi.
Elimika mkuu.
Ningesema WEWE NI PUMBAVU, hapa sasa ningekuwa nimekutukana.
Unamaanisha Kenya ni shwari kuliko Tanzania?,_wale mabaunsa msafara wa Mbowe wa kazi gani?, Ulinzi wa Mkuu wa nchi ni jukumu letu sote hasa tunapotekeleza mipango mikubwa kwa Taifa udhibiti wa wizi wa madini, umeme, maji, maliasili, SGR, Strigers Gorge , ndege, hii mirafi ni tishio kwa mabeberu na mawakala wao. Hivyo ulinzi wa Rais ni Ulinzi wa Taifa. Take time to learn, take time to grow