Hilo la kuwakataza kuwa na simu ngumu kidogo,nimeona Zuma amemkumbatia JK akiwa na simu yake tena Whiteberry nafikiri,ina maana ana chat sana kwa simu tena muda wote maana alikuwa nayo Akimpokea JK!ila with time watazoea na kupunguza sana!Hata no za landline na mobile zimeshabadilishwa sasa!wameingia maisha ya kupangiwa hata muda wa kulala,kula,nguo etc....