Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,503
Ok. Kwa chaguzi za Africa hiyo siyo figure mbaya labda tu inakuwa tatizo zinapoakisiwa na zile 4,099 zaidi za Uhuru Kenyatta.Rejected votes ni 108,975
Rejected votes ni 108,975
Hatimaye Uhuru Kenyatta amekuwa Rais Mteule wa jamhuri ya kenya. Amepata kura 6173433 sawa na 50.03%.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Winning by a margin of just 4,099 with either 108,975 or 330,000 votes rejected, whichever figure is correct, leaves a big cloud on the legitimacy of the outcome.

Je uchaguzi hautarudiwa?
Kama ni kweli, hii itakuwafundisho kubwa sana kwa cdm.Bilashaka Odinga alibweteka kutokana na Matokeo ya uchaguzi uliopita akaamini uchaguzi huu atashinda kirahisi bila kufanya kampeni za kishindani kitu ambacho kime mgharimu.Hivyo chadema zidisheni elimu ya uraia na kueneza sera zenu adi vijijini ili 2015 kazi iwe nyepesi.
My dream is Uhuru for the first East African President. the guy z good. congrats Kenyans.