Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.


Haya maneno ya utabiri umeyanukuu wapi?
 
Pole sana Gamba Magufuli yanazidi kujirudia yale ya Igunga.Magufuli nyota yake mbaya sana usiombe hata akutembelee nyumbani kwako.
 

hawa bbc si ndio wamesema raila kakataa ushindi wa uhuru..
 

umetisha baba jonii
 
Ushindi wa Uhuru ni kufunguka kwa era mpya kwa vijana Afrika Mashariki! Kenya wameweza kumchagua Rais Kijana Tanzania huenda ikafwatia kwa akina Ziti Kabwe kuongaza! ee Mungu tusaidie!
Hata kikwete alivyoingia madarakani alikuwa kijana pia(tofauti ni chini ya miaka miwili). Uhuru na JK tofauti ya umri wao ni takriban miaka kumi, na JK aliingia madarakani miaka nane iliyopita, tofauti ni negligible.
 
Naona hata Chief Editor wa Wikipedia ataupgrade hizo data haraka haraka..Lets go UHURUTO.....:smile-big:
 
Msuguanot kati ya wanasiasa wazee dhidi ya wanasiasa vijana umedhihirika baada ya wakenya kusema kuwa wanajivunia kupata serikali inayoongozwa na vijana. Tanzania tujiandae kuongozwa na vijana (65%) ya watanzania wote
 

maneno mazito haya
 
Kama haya ndo matokeo ya tume hongera zao


What a day we have,,,,people,, here are crazy,,,from chokora pipas to those
driving expensive cars,,,we are all out,,crying out loudly,,,,what a great day
,,,,,,,,,,we have.

What seemed impossible,,,,has just happened,,,,a 50 + 1 victory
for the president elect,,,,,thanks to all of us,,we the great people
of Kenya.

We have a deal,,we have a new president + deputy,,new constitution,,
governors and senators.

Wowww wow to our enemies,,those who wanted to see us,,,,,
frying in our own,,,mafutas.

Shame on you,,,you big lairs,, the CNN,,shame on you Aljazeera,
the Satanic BBC,,to hell with ICC,,, Shame on you prof Makau
Mutua,,the kibaraka in New york,,,,umejikaranga na Mafuta
yako,,,shame on you Johnstone Muthama,,,,we can forgive
you but we'll never forget,,you,,,ati mpishi,,sasa ni
nani mpishi???????.

I love Kenya and all our dear and great people.

People,,here are greeting and embracing each other.

Some kneeling and praying and thanking the almighty.

What a dat,,,what a day we have in Kenya.

Mr Obama,,,,umejionea???????

Long live,,,Kiiii---nyaaa.


Ngong Hills,,,
Kenya.
 

That is very good!
 
Baada ya matokeo a uchaguzi kutangazwa na tume ya uchaguz ya kenya IEBC, Uhuru Kenyatta ndiye aliyetangazwa kuwa mshindi kwa kupata 50.3% akifatiwa na Raila Odinga. Raila Odinga anapinga matokeo a uchaguzi huo kwa sababu mbalimbali ikiwepo ile ya ma-agent wa uchaguzi pale Bomas kutolewa mahali ambapo kura zilikuwa zikihesabiwa na pia suala la baadhi ya vituo kura matokeo kuonesha idadi kubwa ya kura kuliko idadi ya watu waliopiga kura.
 
Aende mahakamani, asianazishe fujo inayoweza pelekea mauaji ya raia wasio na hatia!
 
Nadhani haya ni malalamiko ya msingi. Asikilizwe
 
Kwa mtu yeyote makini, na aliyekua akifatilia this race deeply hawezi kupinga kwamba Raila kachezewa mchezo mchafu.
 
Wakenya wamekosea sana ....Si Uhuru wala Raila ambaye anaweza kuwaunganisha bali walitakiwa wamkabidhi nchi yao Musalia Mudavadi...Nadhani mwaweza kutambua ninachokisema mkirejea kauli yake aliyoitoa jana wakati anatangaza kukubali kushidwa uchaguzi.
 
Wakenya wameamua,akubali tu yaishe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…