KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Dunia nzima imeshuhudia uchaguzi nchi Kenya ukifanyika kwa amani, na mshindi kutangazwa ambaye ni Ndugu Uhuru Kinyatta aliye mshinda mpinzani wake ambaye ni Raila Odinga.
Lakini baada ya IEBC kutangaza ushindi wa Uhuru Kinyatta Mpinzani wake akakimbilia mahakamani kupinga ushindi wa Uhuru Kinyatta.
Lakini mbali na ushindi huo wa Uhuru Kinyatta,nikwamba Uhuru Kinyatta na Bwana Lutto wanayo kesi ya kujibu katika Mahakama ya Uhalifu The Hague ICC.
Ila kwajinsi Uhuru Kinyatta anavyoendelea na pilika pilika za kuingia Ikulu kana kwamba hana shitaka lolote nikukosa upeo!Natena siyo SHITAKA, NI MASHITA!!Kwani kama Mahakama ya uhalifu ICC itamtia hatiani inamaana Kenya Uchaguzi itabidi ufanyike upya lakini hili la ICC siyo shida, shida ipo pale mahakama ya juu itakapo mtia hatiani nakusema ushindi wa Uhuru Kinyatta siyo wa halali!
Nahuku yeye ameishajihakikishia kukaa Ikulu na maandalizi ya serikali yake anaendelea na kuiandaa je atakubaliana na Mahakama hiyo??
Wakati yeye ameshindwa kusubiri mpaka mahakama ya Juu kutoa maamzi juu ya pingamizi aliloliwekewa na mpinzani wake Ndugu Raila Odinga!
Je mahakama ikigeuza kibao nakudai kuwa urais wake ni batili je atakuwa tayari kukaa kimya?au ndo mwanzo wa vurugu Kenya?
Ilikuwa wakati mzuri kwa Uhuru Kinyatta kuwa mpole kama mwenzake Raila Odinga alivyo kaa kimya, na kuwahasa wafuasi wake wawe watulivu wasubiri maamzi ya Mahakam ya Juu!itoe uamzi juu ya pingamizi aliloliweka Raila Odinga.
Mimi ninacho kiona kila kitu kinawezekana hapa na wala siyo wakati mzuri wa Uhuru Kinyatta kujikweza kuwa ni rais kwani kuna mabo mawili ya namkabili!.
Inabidi ajipange kwanza kabla ya kusherekea Uraisi.