johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao.
Updates;
Kwahiyo wewe hauna akili ndio sababu umechangia!Ni Ujinga Kudhani Kwamba Kwenye Thread ukiandika Jina CHADEMA watu wenye akiri Watachangia..
Hahahaaaa....... Uwongo wa Lumumba ni nafuu kuliko ule wa Ufipa!Zamani muda wote afrika mashariki iliwakilishwa Sana na kikwete unadhani kwann leo mtoto wa jijini Nairobi Uhuru kenyata ,shida nimalezi mnayopata toka umezaliwa unasikiaga uwongo hapo lumumba
makuzi yenu hayo shauliyenu iposiku ,mkuu kwann lakini baba ako atakuhenyesha mpaka lini Kuna muda muoneshe umekua ,funguka tell him(ccm-lumumba hapo) you are grown enough ,umri huo huwezi ambiwa haya maembe akati ndimu na ukakubaliHahahaaaa....... Uwongo wa Lumumba ni nafuu kuliko ule wa Ufipa!
Wewe mbuzi wa kafara bila kuitaja cdm hupati mlo? Yaani umekuwa na ngebe mithili ya mawifi na wakewenza! Huku uzaramoni watu wa aina Yako wanaambiwa kuwa Wana ng'ong'o! Nawe unafit kwenye hiyo ng'ong'o kwani huna unalowaza zaidi ya kujipendekeza ccm Kwa kuichafua cdm kwenye Kila Uzi wako! Au nawe wanakugombea Kama yule wa act?Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao.
Updates;
Wewe ni mjinga kiasi gani jameni? Kwani Tanzania ni mkoa wa Kenya ndio Uhuru aitetee kwa biden? Laumu magufuli kwa weak diplomacy ya kuita watu 'mabeberu'
Wewe ni mjinga kiasi gani jameni? Kwani Tanzania ni mkoa wa Kenya ndio Uhuru aitetee kwa biden? Laumu magufuli kwa weak diplomacy ya kuita watu 'mabeberu'
Suluhu alikua Newyork akashindwa kuongea na biden sababu hajui kizungu na diplomacy.
CCM wanaita wazungu 'mabeberu' biden akiwa mmoja wao...Samia anamuita Uhuru kaka.
..sasa kaka atashindwa kumsemea dada?
CCM wanaita wazungu 'mabeberu' biden akiwa mmoja wao.
Wachina wanamdai help zao anaona Bora akaoganise soft loan hukoTofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao.
=======
Biden Welcomes Kenyatta to the White House
U.S. President Joe Biden hosts his Kenyan counterpart, Uhuru Kenyatta, today in Washington. Kenyatta is the first African leader to meet with Biden at the White House since he became president.
The two are expected to discuss a range of issues, from economics and security to climate change and human rights.