Mashashola JF-Expert Member Joined Feb 23, 2020 Posts 4,345 Reaction score 5,718 Oct 14, 2021 #21 JokaKuu said: ..huo ulikuwa upumbavu wa serikali ya awamu ya 5. ..Maza amekwenda UNGA na kuiambia dunia nzima kwamba anaamini ktk mahusiano mema na ushirikiano baina ya mataifa. Click to expand... Attachments FB_IMG_16342406921902479.jpg 48.4 KB · Views: 2 FB_IMG_16342407001515441.jpg 33.7 KB · Views: 2
JokaKuu said: ..huo ulikuwa upumbavu wa serikali ya awamu ya 5. ..Maza amekwenda UNGA na kuiambia dunia nzima kwamba anaamini ktk mahusiano mema na ushirikiano baina ya mataifa. Click to expand...
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Oct 15, 2021 #22 Hehehehe! Mleta mada mara moja moja huwa napenda kupitia jukwaa la siasa na huwa nakumbana sana na nyuzi zako, unapenda kuwatibua sana wafuasi wa Chadema, unachekesha sana, sasa subiri hapo pembeni majibu yao humu.
Hehehehe! Mleta mada mara moja moja huwa napenda kupitia jukwaa la siasa na huwa nakumbana sana na nyuzi zako, unapenda kuwatibua sana wafuasi wa Chadema, unachekesha sana, sasa subiri hapo pembeni majibu yao humu.