flyingcrane
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 241
- 88
Uhuru Kenyatta amejipata katika njia panda kwa matukio ya kigaidi yanayokumba taifa. ameandaa vikao na national security council kutafuta suluhisho la haraka ama awapige kalamu. Raisi anajisifia kununua na kukodisha magari ya askari polisi pamoja nakuongeza fedha lakini hatuoni ufanisi wowote. Hivi sasa anatunyoshea kidole cha lawama eti usalama ni kazi ya wananchi. Serikali ya digitali imeshindwa na kazi sasa nikulalama tu na kunyoshea wananchi vidole. Huku wananchi wakimshinikiza Olelenku na kimaiyo kujiuzulu naye raisi kutoa matamshi ya ki**** Alshabaab wanapanga na kupangua jinsi ya kuliumiza taifa. Tufanye jitihada kuwaondoa olelenku na kimaiyo kutoka kwa madaraka yao wakauze nguo gikomba. what if Alshabaab is planning a nuclear attack on Kenyan soil or even nerve gas on our soil. What if they contaminate water in our pipes with poison??? Nani anafaa azuie tendo kama hili la kigaidi ni Wananchi ama serikali? Uhuru Kenyatta is seriously jokn with our lives? Its better we have security in our country than superhighways he is trying to make.